Nijuze Habari

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne August 23,2023

Filed in Usajili by on 23/08/2022 0 Comments

Tetesi za Usajili Ulaya Leo, Tetesi za Usajili Ulaya, Tetesi za Usajili Barani Ulaya, Tetesi za Usajili, Usajili Ulaya, Usajili Ulaya Leo, Usajili Barani Ulaya, Dondoo na Tetesi za Usajili Ulaya, Dondoo za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Barani Ulaya, Nijuze Habari za Usajili, Nijuze Habari za Michezo, Nijuze Habari Kwenye Usajili, Nijuze Habari za Usajili Ulaya.

Nijuze Habari Application

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne August 23,2023

Tetesi za Usajili Ulaya Leo, Tetesi za Usajili Ulaya, Tetesi za Usajili Barani Ulaya, Tetesi za Usajili, Usajili Ulaya, Usajili Ulaya Leo, Usajili Barani Ulaya, Dondoo na Tetesi za Usajili Ulaya, Dondoo za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Barani Ulaya, Nijuze Habari za Usajili, Nijuze Habari za Michezo, Nijuze Habari Kwenye Usajili, Nijuze Habari za Usajili Ulaya.

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumanne August 23,2023Mshambuliaji wa Uruguay Edinson Cavani mwenye umri wa miaka 35 amekubali kujiunga na Klabu ya Valencia (Chanzo:RMC Sport)

Klabu ya AC Milan iko mbioni kukamilisha usajili wa Beki wa Klabu ya Tottenham Hotspur, Japhet Tanganga kwa mkopo (Chanzo: Di Marzio)

Klabu ya Manchester United inatarajiwa kutuma ofa ndani ya wiki hii kwenda klabu ya Ajax Amstadam kwaajili ya kumnunua Antony Matheus mwenye umri wa miaka 22 (Chanzo: Sky SportsPL)

Klabu ya Chelsea iko tayari kuilipa Everton kiasi cha £60m ili kumnasa Anthony Michael Gordon mwenye umri wa miaka 22 (Chanzo: Sky Sports)

Vilabu vya Fulham na AS Roma vipo kwenye Mazungumzo mapya ya kujadili dili la winga Justin Dean Kluivert raia wa Netherland mwenye umri wa miaka 23 kutoka AS Roma.

Mazungumzo yanaendelea vizuri, uwezekano wa Kluivert kutua Fulham kwa uhamisho wa kudumu japo kwa sasa nyota huyo anaikipga katika Klabu ya Nice kwa mkopo (Chanzo: Fabrizio Romano)

Klabu ya Juventus imefikia makubaliano na Klabu ya Marseille juu ya uhamisho wa mkopo wa Arkadiusz Milik raia wa Poland mwenye umri wa miaka 28 kutoka Marseille (Chanzo: Di Marzio)

Beki wa Ivory Coast, Eric Bertrand Bailly 28 mwenye umri wa miaka anakaribia kukamilisha uhamisho wa kwenda Marseille kwa mkopo pamoja na kipengele cha kununuliwa moja kwa moja ikiwa itafuzu UEFA Champions League (Chanzo: Fabrizio Romano)

Klabu ya Manchester United ina mpango wa kumsajili mlinda mlango Kevin Trapp mwenye umri wa miaka 32 kutoka Eintracht Frankfurt, huku United ikipanga kumpa mshahara wa takribani €10m-11m. Kwa mwaka.

Licha ya Manchester United kuwa na mpango huo, bado haijatuma ofa rasmi na anaweza kuchukua nafasi ya David De Gea kama kipa chaguo la kwanza na Frankfurt inasema kuwa bado haijapokea ofa. (Chanzo: @SPORT1)

Klabu ya Everton tayari imefanya uchunguzi wa kutaka kumsajili João Pedro mwenye umri wa miaka 20 kutoka Watford(Chanzo: Sky Sports News)

Arsenal inapanga kuanza Mazungumzo ya kumsajili Kiungo wa kati wa AC Milan, Sandro Tonali mwenye umri wa miaka 22 (Chanzo: Daily Star)

Klabu ya West Ham United imekamilisha Usajili wa Emerson Palmieri mwenye umri wa miaka 28 kwa pauni milioni 15 kutoka Chelsea (Chanzo: Sky Sports)

Klabu ya Chelsea ipo kwenye mazungumzo ya kumsajili Mshambuliaji Rafael Leao mwenye umri wa miaka 23 kutoka AC Milan. (Chanzo: PA)

Tottenham ina mpango wa kumsajili kumsajili winga Daniel James mwenye umri wa miaka 24 kutoka Leeds.
(Chanzo: Sun)

Klabu ya Watford imethibitisha kumuuza Hassane Kamara kwenda Udinese kwa takriban £16m, lakini atasalia katika klabu hiyo kwa msimu huu kwa mkopo.(Chanzo: Watford FC)

Vilabu vya Nice na Arsenal vipo kwenye mazungumzo kuhusu uhamisho wa Nicolas Pépé kwa mkopo, yapo matumaini ya kuwa dili hilo linaweza kamilika
(Chanzo: Fabrizio Romano)

Juventus wameamua kutomsajili Kiungo Mshambuliaji wa Uholanzi Memphis Depay mwenye umri wa miaka 28 kwa sababu ya madai yake ya mshahara, sasa miamba hiyo ya Italia inashinikiza kupata saini ya Arkadiusz Milik kutoka Marseille.
(Chanzo: Di Marzio

Wawakilishi wa Winga wa Ureno na Manchester City, Bernardo Silva mwenye umri wa miaka 28 asubuhi ya Leo Jumanne walienda kutafuta nyumba huko Barcelona (Chanzo: gerard romero)

Klabu ya West Ham United imetuma ofa ya kiasi cha €11m + ili kuangalia uwezekano wa kuinasa saini ya Kiungo wa Kati Hans wa Ubelgiji Vanaken mwenye umri wa miaka 29 lakini Club Brugge bado hawajaridhishwa na ofa hiyo na inatarajiwa kuikataa (Chanzo: Fabrizio Romano)

Klabu ya Chelsea imetuma ofa ya mwisho ya kiasi cha €20M kwenda kwa FC Barcelona kwaajili ya kumsajili Mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang mwenye umri wa miaka 33 (Chanzo: Diario sport)

Chelsea inafikiria kumrejesha Mshambuliaji wao wa zamani Alvaro Morata mwenye umri wa miaka 29 kutoka Atletico de Madrid iwapo watashindwa kumsajili Pierre-Emerick Aubameyang kutoka FC Barcelona. (Chanzo:Sport)

Chelsea pia imesema kuwa haiko tayari kupanda na kutoa kiasi zaidi ya £70M ikiwa ni pamoja na nyongeza kwaajili ya Usajili wa mlinzi wa Ufaransa, Wesley Fofana mwenye umri wa miaka 21 kutoka Leicester City.

Hiyo ni baada ya Leicester City kukataa ofa ya tatu na imeripotiwa Leicester city wanataka paundi milion 80 (Chanzo: David Ornstein(.

Klabu ya Everton imeongeza nia ya kuwania saini ya nyota wa Southampton na Scotland Che Adams mwenye umri wa miaka 26. (Chanzo: Sky Sports)

Everton pia imeonesha nia ya kutaka kumsajili kiungo wa Newcastle Miguel Almiron raia wa Paraguay mwenye umri wa miaka 28. (Chanzo: ed aarons)

Klabu ya Hull City imekamilisha Usajili wa Winga Salah-Eddine Oulad M’hand mwenye umri wa miaka 18 kutoka Arsenal kwa mkopo wa msimu mzima.

Klabu ya Standard Liege ya Ubelgiji imekamilisha Usajili wa winga Osher Davida raia wa Israel mwenye umri wa miaka 21 kutoka Hapoel Tel Aviv ya Israel kwa kiasi cha €1.6m.

Tetesi za Usajili Ulaya Leo, Tetesi za Usajili Ulaya, Tetesi za Usajili Barani Ulaya, Tetesi za Usajili, Usajili Ulaya, Usajili Ulaya Leo, Usajili Barani Ulaya, Dondoo na Tetesi za Usajili Ulaya, Dondoo za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Ulaya, Habari za Usajili Barani Ulaya, Nijuze Habari za Usajili, Nijuze Habari za Michezo, Nijuze Habari Kwenye Usajili, Nijuze Habari za Usajili Ulaya.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.