TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumapili October 23 2022
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumapili October 23 2022

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumapili October 23 2022
Mtangazaji wa TV Piers Morgan anasema Ronaldo alikataa ofa ya pauni milioni 130 ya kucheza Saudi Arabia msimu uliopita. (Mail)
Mshambulizi wa zamani wa Uingereza Darren Bent anasema Steven Gerrard anaweza kuwa mshindani wa kuwa meneja ajaye wa Uingereza baada ya kutimuliwa na Aston Villa. (TalkSPORT)
West Brom wamefanya mazungumzo na meneja wa zamani wa Derby County Liam Rosenior kuhusu nafasi iliyo wazi ya meneja. (Sun)
Shirika linalomwakilisha mlinzi wa Nigeria Calvin Bassey linasema uhamisho wake wa kwenda Ajax kutoka Rangers ulikuwa bora kwa ‘’maendeleo’’ yake yaliyofichwa, huku Arsenal pia ikimtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22. (OwnGoalNigeria, via Mirror)
Newcastle wako tayari kutumia £25m kumsajili mshambuliaji wa Brighton wa Ubelgiji Leandro Trossard, 27, Januari. (Talking Transfers, via Express)
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Tottenham inaweza kuwa tayari kutoa ofa ya pauni milioni 43 kumnunua beki wa Inter Milan mwenye umri wa miaka 23 Alessandro Bastoni. (Inter Live, via HITC)
Beki wa kulia wa Manchester United Mreno Diogo Dalot, 23, analengwa na Real Madrid. (Mirror)
Chelsea wana nia ya kutaka mnamo mwezi Januari kumnunua mshambuliaji wa Manchester United Mreno Cristiano Ronaldo, 37, ambaye yuko tayari kupunguziwa mshahara ili kuondoka Old Trafford. (Sunday World)
Nahodha wa zamani wa Manchester United Roy Keane anasema ‘’wachezaji wameonyesha mchezo mbaya zaidi’’ katika klabu hiyo huku akimtetea Ronaldo kwa kukataa kuingia kama mchezaji wa akiba dhidi ya Tottenham Jumatano iliyopita. (Sky Sports, via Sun)
Manchester United haijapokea maombi yoyote ya kumnunua Ronaldo licha ya kumfanya apatikane kwa uhamisho wa bila malipo. (ESPN)

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumapili October 23 2022