LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 1 May 2023

Filed in Usajili, Michezo by on 01/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 1 May 2023.

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 1 May 2023,Habari za man united za leo,Usajili wa Arsenal 2023,Tetesi za usajili ulaya liverpool,Bbc swahili michezo leo asubuhi,Tetesi za usajili ulaya leo 2023,Usajili ulaya Man united,Tetesi za usajili arsenal leo,Bbc tetesi za usajili,Tetesi za Usajili Tanzania,Mwanaspoti tetesi za usajili leo,Tetesi za Usajili Yanga,Usajili Man United 2022/2023,Tetesi za usajili Simba,Tetesi za usajili ulaya leo 2023 bbc,Usajili ulaya Man united.

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 1 May 2023

Klabu ya Manchester United ina mpango wa kumsajili beki wa pembeni wa Paris St-Germain, Achraf Hakimi raia wa Morocco mwenye umri wa miaka 24. (Football Insider)

Klabu ya Sheffield United iko tayari kumuongezea mkataba mshambuliaji wake raia wa Scotland, Oli McBurnie mwenye umri wa miaka 26 baada ya kufanikiwa kupanda daraja kucheza Ligi kuu England msimu ujao wa 2023/2024. (Sun)

Klabu ya Chelsea inahusishwa na Mshambuliaji wa Bayern Munich na Senegal, Sadio Mane mwenye umri wa miaka 31 ambaye alijiunga na timu hiyo ya Ujerumani akitokea Liverpool msimu uliopita wa joto. (Football London)

Klabu ya Al Nassr inayoshiriki Ligi Kuu ya Saudi Arabia (Saudi Pro League) inamfuatilia beki wa kushoto wa Brazil Alex Telles mwenye umri wa miaka 30,l ambaye yuko kwa mkopo Sevilla akitokea Manchester United na huenda akaungana na Mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United, Cristiano Ronaldo. (AS)

Klabu ya Manchester City inajiandaa kufanya mazungumzo na mshambuliaji wa Norway, Erling Haaland mwenye umri wa miaka 22 ili asaini mkataba mpya. (Football Insider)

Mshambulizi wa Crystal Palace na Ivory Coast, Wilfried Zaha ananyatiwa na vilabu vya Arsenal, Juventus, Chelsea na Barcelona huku mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 akitarajiwa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu mkataba wake unapomalizika. (Telegraph)

Klabu ya Chelsea ina imani kuwa kiungo wake wa kati wa England, Mason Mount, mwenye umri wa miaka 24 atazikataa ofa za Bayern Munich na Liverpool na kusaini mkataba mpya wa kusalia katika klabu hiyo. (Football Insider)

Klabu ya Juventus inataka kumuuza Mshambuliaji wake, Dusan Vlahovic mwenye umri wa miaka 23 kwenda Arsenal na Bayern Munich huku muda wa Mserbia huyo katika klabu hiyo unaonekana kufikia mwisho (Tutto Mercato Web)

Klabu ya Newcastle United inafikiria kumnunua mshambuliaji wa Roma na Argentina, Paulo Dybala mwenye umri wa miaka 29. (Calcio Mercato)

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 1 May 2023,Habari za man united za leo,Usajili wa Arsenal 2023,Tetesi za usajili ulaya liverpool,Bbc swahili michezo leo asubuhi,Tetesi za usajili ulaya leo 2023.

Usajili ulaya Man united,Tetesi za usajili arsenal leo,Bbc tetesi za usajili,Tetesi za Usajili Tanzania,Mwanaspoti tetesi za usajili leo,Tetesi za Usajili Yanga,Usajili Man United 2022/2023,Tetesi za usajili Simba,Tetesi za usajili ulaya leo 2023 bbc,Usajili ulaya Man united.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *