TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 10 July 2023
SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 10 July 2023
TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 10 July 2023, Tetesi za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 10 July 2023,Tetesi za usajili ulaya leo 2023,Bbc swahili michezo leo.
Klabu ya Juventus imeiambia Chelsea kuwa inaweza kumpata Mshambuliaji wa Serbia, Dusan Vlahovic mwenye umri wa 23, kwa kutoa euro 25m (£21.4m) pamoja na mshambuliaji wao wa Ubelgiji Romelu Lukaku. (Corriere dello Sport, via Football London)
Hata hivyo, Lukaku mwenye umri wa miaka 30, yuko tayari kukatwa mshahara wa £1m kwa mwaka ili kusaini mkataba wa kudumu na Inter Milan baada ya muda wake wa mkopo kumalizika.(Telegraph).
Klabu ya Bayern Munich imetoa ofa iliyoboreshwa zaidi ya £70m kwa Mshambuliaji wa Tottenham na Uingereza, Harry Kane mwenye umri wa miaka 29. (Guardian)
Meneja mpya wa Al-Ettifaq, Steven Gerrard amefanya mazungumzo na winga wa Ivory Coast, Wilfried Zaha kuhusu uhamisho wa £16m kwa mwaka kwenda Saudi Arabia, huku mkataba wa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 na Crystal Palace sasa ukimalizika. (Mail)
Klabu ya Manchester United wanajua inajiandaa kuwasilisha ofa mpya kwa Atalanta kwaajili ya Rasmus Hojlund, ikiwa tayari imeafikiana kimsingi na mshambuliaji huyo wa Denmark mwenye umri wa miaka 20, kuhusu mkataba wa miaka mitano utakaodumu hadi 2028. (Nicolo Schira).
Klabu za Fulham na Crystal Palace zina nia ya kumsajili beki wa pembeni wa Marekani, Sergino Dest mwenye umri wa miaka 22 kutoka FC Barcelona. (Mundo Deportivo)
Klabu ya Wolfsburg iko tayari kumbakisha Micky van de Ven ikiwa Tottenham hawatakidhi bei yao ya £40m kumnunua mlinzi huyo wa Uholanzi mwenye umri wa miaka 22. (Wolfsburger Allgemeine, via Express).
Winga wa Leicester Muingerezaz Harvey Barnes mwenye umri wa miaka 25 ana mpango wa kuhamia Newcastle msimu huu wa joto. (Football Insider)
Kiungo wa kati wa Manchester United na Brazil, Fred mwenye umri wa miaka 30, amebadilisha wakala wake huku klabu za Fulham na Saudi Arabia zikiwa na nia ya kutaka kumsajili (Fabrizio Romano)
Klabu ya Paris St-Germain ina mpango wa kumsajili mshambuliaji wa Napoli na Nigeria, Victor Osimhen mwenye umri wa miaka 24 kama mbadala wa mshambuliaji wa Ufaransa, Kylian Mbappe mwenye umri wa miaka 24 pia. (Gazzetta dello Sport, via Football Italia)
Gwiji wa zamani wa Marekani, Landon Donovan amemkosoa winga wa Chelsea Mmarekani, Christian Pulisic mwenye umri wa miaka 24 kwa kuchagua kujiunga na AC Milan badala ya kuhamia ligi ya kwao Marekani, MLS. (Fox Sports)
Kocha Mkuu wa Klabu ya AS Roma, Jose Mourinho anatamani kumsajili kiungo wa kati wa Scotland, Scott McTominay mwenye umri wa miaka 26 kutoka Manchester United. (Football transfers)
Vilabu vya Manchester United na Newcastle vyote vinataka kumnunua mlinzi wa Ufaransa, Axel Disasi mwenye umri wa miaka 25 lakini hakuna timu iliyowasilisha ofa rasmi kwenda Monaco. (Fabrizio Romano)
Beki wa Uholanzi, Jurrien Timber mwenye umri wa miaka 22, amefanyiwa vipimo vya afya na Arsenal na kurejea nyumbani kwaajili ya kuaga Wachezaji wenzake kabla ya kukamilisha uhamisho wake kutoka Ajax Amstadam. (Metro)
Klabu ya Everton imetuma ofa kwa beki wa zamani wa Uingereza, Ashley Young mwenye umri wa miaka 38 baada ya mkataba wake kumalizika pale Aston Villa. (Football Insider)
Klabu ya Liverpool imesema kuwa iko tayari kumruhusu mlinzi wa Uingereza, Nat Phillips mwenye umri wa miaka 26 kujiunga na Leeds, lakini kwa mkataba wa kudumu pekee. (Sun)
Klabu ya Manchester United itasikiliza ofa za mkopo kwaajili ya winga wa Ivory Coast, Amad Diallo mwenye umri wa miaka 20 ambaye alitumia msimu uliopita kucheza kwa mkopo Sunderland. (Football Insider)
Klabu ya West Ham United imeonyesha nia yao ya kutaka kumsajili Mshambuliaji wa Senegal, Habib Diallo mwenye umri wa miaka 28 kutoka Strasbourg. (Football Insider)
Tetesi za Usajili Tanzania,Habari za man UNITED za leo,Usajili ulaya man united,Bbc tetesi za usajili,Bbc tetesi za usajili leo July 10 2023,Bbc tetesi za usajili Leo,Tetesi za usajili barani Ulaya leo Jumatatu, Tetesi za usajili ulaya,Usajili ulaya man City,Usajili ulaya Chelsea,Usajili ulaya Arsenal,Usajili ulaya PSG,Usajili ulaya Buryen Munich,Usajili ulaya Madrd,Usajili ulaya Tottenham.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Bbc swahili michezo leo, Bbc tetesi za usajili, Bbc tetesi za usajili Leo, Bbc tetesi za usajili leo July 10 2023, Habari za man united za leo, Tetesi za Usajili Barani Ulaya leo Jumatatu, TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 10 July 2023, Tetesi za Usajili Tanzania, TETESI ZA USAJILI ULAYA, Tetesi za usajili ulaya leo 2023, Usajili ulaya Arsenal, Usajili ulaya Buryen Munich, Usajili ulaya Chelsea, Usajili ulaya Madrd, Usajili ulaya man City, Usajili ulaya Man united, Usajili ulaya PSG, Usajili ulaya Tottenham.