LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 8 May 2023

Filed in Usajili, Michezo by on 08/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 8 May 2023

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 8 May 2023

TETESI za Usajili Barani Ulaya Leo Jumatatu tarehe 8 May 2023

Klabu ya Aston Villa iko tayari kulipa dau la £60m la Fulham ili kumsajili kiungo wa kati wa Ureno, Joao Palhinha mwenye umri wa miaka 27.(Football Insider)

Wakala wa Joao Cancelo amekutana na Barcelona kuhusu klabu hiyo kumsajili beki huyo wa Manchester City ambaye yuko Bayern Munich kwa mkopo wa msimu mzima, huku kukiwa na chaguo la kumnunua mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28. (Sport – in Spanish)

Rais wa Napoli Aurelio de Laurentiis anasema mabingwa hao wa Serie A hawatamuuza mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen, 24, ambaye amekuwa akihusishwa na baadhi ya vilabu vikubwa barani Ulaya, msimu huu wa joto.(Cinque Minuti, via Mail)

Nahodha wa zamani wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang mwenye umri wa miaka 33 ataondoka Chelsea – na anataka kurejea tena Barcelona . (Fabrizio Romano)

Klabu ya Manchester City inaangalia uwezekano wa kumnunua kiungo wa kati wa Bayern Munich, Mholanzi Ryan Gravenberch mwenye umri wa miaka20, ambaye amekuwa akihusishwa na Liverpool, iwapo watamkosa kiungo wa kati wa Uingereza Jude Bellingham mwenye umri wa miaka 19 kutoka Borussia Dortmund. (Mirror)

Klabu ya AS Roma imekubali mkataba na kiungo wa kati wa Ufaransa, Houssem Aouar ambao utamfanya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24 ajiunge na klabu hiyo ya Italia msimu wa joto wakati mkataba wake na Lyon utakapokamilika (Sky Sports Italia – in Italian)

Adam Lallana alichangia pakubwa katika kumshawishi mchezaji mwenzake wa zamani James Milner kujiunga na Brighton kutoka Liverpool . Kiungo huyo wa zamani wa England mwenye umri wa miaka 37 anakaribia kukamilisha dili la kujiunga na The Seagulls (Football Insider)

Klabu ya Brentford inataka kumsajili kipa wa Liverpool na Jamhuri ya Ireland, Caoimhin Kelleher mwenye umri wa miaka 24. (Sun)

Klabu ya FC Barcelona ina uhakika wa kukamilisha dili ya kumsajili kiungo wa kati wa Manchester City na Ujerumani Ilkay Gundogan mwenye umri wa miaka 32. (90min)

Klabu ya Aston Villa inajiandaa kumnunua Mshambuliaji wa Serbia, Dusan Vlahovic mwenye umri wa miaka 23 kutoka Juventus . (Football Insider)

Klabu ya Tottenham imeiambia Barcelona itaje bei yao kwa kiungo wa kati wa Ivory Coast, Franck Kessie mwenye umri wa 26. (Sport – in Spanish)

Klabu ya Liverpool haijawasiliana na Brighton kuhusu uhamisho wa kiungo wa kati wa Argentina, Alexis Mac Allister mwenye umri wa miaka 24 (Athletic)

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *