Nijuze Habari

TFF yamfungia Haji Manara

Filed in Michezo by on 21/07/2022 0 Comments

Haji Manara Yanga SCKAMATI ya Maadili ya TFF, imemfungia Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kutojihusisha na masuala ya mpira ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili (2) na faini ya shilingi milioni 20 kwa kosa la kumtolea maneno yasiyofaa Rais wa TFF, Wallace Karia.

Nijuze Habari Application

Haji Manara Yanga SCAdhabu hiyo imetolewa kwa mujibu wa kifungu 73.5 na 73.6 kwa makosa ya kumtishia na kumdhalilisha Rais wa TFF Wallace Karia kwenye Fainali ya Kombe la Shirikisho la Shirikisho la TFF (ASFC) mchezo wa Fainali uliochezwa July 02, 2022 Jijini Arusha kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Haji Manara Yanga SCHaji Manara anadaiwa Kumtishia na kumdhalilisha Rais wa TFF Ndg. Walles Karia siku ya Jumamosi July 02, 2022 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jijini Arusha mwenye mchezo wa Fainali kati ya Young Africans SC dhidi ya Coastal Union FC.

Maneno yanayodaiwa kutumiwa na Haji Manara ni kwenye mabishano yaliyokea siku hiyo ni;

“Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa lolote,kwa chochote na huwezi kunifanya chochote. Nina uwezo wa kukufanya chochote na huna cha kunifanya.

Adhabu hiyo inaanza leo Alhamisi, July 21, 2022.

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.