Nijuze Habari App

TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024

Filed in Michezo, New by on 23/07/2023 0 Comments
Share This
 

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024

TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024,Timu 10 ambazo hazitaanzia Raundi ya awali CAF Champions League 2023/24, Total CAF Champions League 2023/24, CAF Champions League table,CAF Champions League fixtures 2024,CAF Confederation Cup,CAF Champions League fixtures, Zawadi Za CAF Champions League 2024,CAF Champions League results, Timu 10 kutocheza hatua ya awali CAF Champions League 2023/24.

TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024

TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024, Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limetangaza kufanyika kwa Droo ya hatua ya awali kwa Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, Julai 25, Jijini Cairo, Misri.

Droo kwa upande wa Ligi ya Mabingwa itahusisha timu 54, huku mbili kutoka Tanzania Bara zitashiriki mashindano hayo ambazo ni Simba na Yanga, huku moja ikiwa KMKM kutoka Zanzibar.

Klabu ya Simba SC ya Tanzania ni miongoni mwa timu 10 Barani Afrika ambazo zitaanzia raundi ya pili kwenye Michuano ya CAF Champions League msimu huu wa 2023/24.

Timu zitakazoanzia 2nd round CAF Champions League 2023/24, timu zitakazoanzia hatua ya mwisho kwenda hatua ya Makundi CAF Champions League 2023/24), Simba kuanzia hatua ya Pili CAF Champions League 2023/24.

TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024,Timu 10 ambazo hazitaanzia Raundi ya awali CAF Champions League 2023/24, Total CAF Champions League 2023/24, CAF Champions League table,CAF Champions League fixtures 2024,CAF Confederation Cup,CAF Champions League fixtures, Zawadi Za CAF Champions League 2024,CAF Champions League results, Timu 10 kutocheza hatua ya awali CAF Champions League 2023/24.Orodha ya Vilabu 10 Vitakavyoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024

  1. Al Ahly – Egypt
  2. Wydad Casablanca – Morocco
  3. Esperance de Tunis – Tunisia
  4. Mamelodi Sundowns – South Africa
  5. Simba SC – Tanzania
  6. Petro de Luanda – Angola
  7. TP Mazembe – DR Congo
  8. Enyimba FC – Nigeria
  9. CR Belouizdad – Algeria
  10. Pyramids – Egypt

Katika timu hizo 10 kila moja itacheza mechi mbili za nyumbani na ugenini, huku matokeo ya jumla yakiamua nani atinge hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika 2023/2024.

Aidha timu hizi kumi haziwezi kukutana katika hatua hiyo ya pili.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

TIMU 10 Zitakazoanzia Raundi ya Pili CAF Champions League 2023/2024,Timu 10 ambazo hazitaanzia Raundi ya awali CAF Champions League 2023/24, Total CAF Champions League 2023/24, CAF Champions League table,CAF Champions League fixtures 2024,CAF Confederation Cup,CAF Champions League fixtures, Zawadi Za CAF Champions League 2024,CAF Champions League results, Timu 10 kutocheza hatua ya awali CAF Champions League 2023/24.Timu 10 ambazo hazitaanzia Raundi ya awali CAF Champions League 2023/24, Total CAF Champions League 2023/24, CAF Champions League table,CAF Champions League fixtures 2024,CAF Confederation Cup,CAF Champions League fixtures, Zawadi Za CAF Champions League 2024,CAF Champions League results, Timu 10 kutocheza hatua ya awali CAF Champions League 2023/24.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *