telegram Nijuze Habari

TIMU zilizofuzu hatua ya Makundi CAF Champions League 2022/2023

Filed in Michezo by on 17/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

TIMU zilizofuzu hatua ya Makundi CAF Champions League 2022/2023

TIMU zilizofuzu hatua ya Makundi CAF Champions League 2022/2023

TIMU zilizofuzu hatua ya Makundi CAF Champions League 2022/2023

Klabu ya Simba SC ndiyo timu pekee iliyofanikiwa kutinga hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kwa Tanzania.

Kwa mara nyingine, Simba imeingia katika orodha ya timu 16 bora za Afrika.

Simba yenye makazi yake Mtaa wa Msimbazi Kariakoo Jijini Dar es Salaam imeungana na timu nyingine 15 baada ya ushindi wa jumla wa mabao 4-1 dhidi ya Klabu ya Primeiro de Agosto ya Angola.

Kuona timu 16 zilizofuzu hatua hiyo ya Makundi Bofya HAPA

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *