TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023
TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023,CAF Champions League players,CAF Champions League live score,CAF Champions League final 2023.

TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023
Ligi ya Mabingwa Afrika Ligi ya Mabingwa ya CAF, ambayo zamani iliitwa Kombe la Klabu Bingwa Afrika na ambayo sasa inajulikana kwa sababu za udhamini kama Ligi ya Mabingwa ya CAF ya TotalEnergies.
Ni Shindano la kila mwaka la vilabu vya kandanda linaloandaliwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) na kushindaniwa na vilabu vinavyomaliza nafasi za juu kwenye Ligi zao za ndani.
Orodha ya timu zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023
1:Wydad Casablanca – Morocco
2:Mamelod Sundowns – South Africa
3:Al Ahy – Egypt
4:Esperance – Tunisia
Ratiba ya Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023
👉Wydad Casablanca vs Mamelodi Sundowns (Nusu Fainali ya Kwanza)
👉Esperance vs Al Ahly (Nusu Fainali ya Pili)
Michezo ya kwanza ya Nusu Fainali itapigwa kati ya May 12 na 13, 2023 na marudiano itakuwa kati ya May 19 na 20, 2023, huku mchezo wa Fainali ukitarajiwa kupigwa June 4 na 11, 2023.
Matokeo yote ya Robo Fainali CAF Champions League 2022/2023.
👉FT Wydad 1-0 Simba [Agg 1-1, Pen 4-3]
👉FT Mamelod 2-1Belouizdad [Agg:6-2]
👉FT Raja AC 0-0 Al Ahly [Agg: 0-2]
👉FT Esperance 1-1 JS Kayblie [Agg: 2-1]
Washindi wa Shindano hilo huamuliwa kupitia hatua ya Makundi ambayo huamua kufuzu kwa hatua ya mtoano ya Robo Fainali, Nusu Fainali na hatimaye Fainali.

Ratiba ya Nusu Fainali na Fainali CAF Champions League 2022/2023
Ni Mashindano ya Vilabu yenye hadhi zaidi katika Soka la Afrika na mojawapo ya matukio ya soka ya kifahari zaidi Duniani kote.
Mshindi wa Shindano hilo anafuzu kushiriki Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, ambalo huchezwa kati ya timu Bingwa kutoka kila Bara ambayo ni Mabara sita Washirika.
Pia Bingwa hucheza na Mshindi wa Kombe la Shirikisho la CAF katika Kombe la Super Cup la CAF kila mwaka unaofuata.
TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023,CAF Champions League players,CAF Champions League live score,CAF Champions League final 2023,Nusu Fainali CAF Champions League,Ratiba ya Nusu Fainali CAF Champions League, Ratiba CAF Champions League 2023,timu zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2023,Timu zilizotinga Nusu Fainali CAF Champions League 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: CAF Champions League final 2023, CAF Champions League live score, CAF Champions League players, Nusu Fainali CAF Champions League, Ratiba CAF Champions League 2023, Ratiba ya Nusu Fainali CAF Champions League, TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023, timu zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2023, Timu zilizotinga Nusu Fainali CAF Champions League 2023.