LIVE AL AHLY VS WYDAD AC Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 3:00 Usiku. 

TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023

Filed in Michezo by on 01/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023

TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023

TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Champions League 2022/2023

Kombe la Shirikisho la CAF, linalojulikana kama Kombe la Shirikisho la CAF kwa ni mashindano ya kila mwaka ya vilabu vya soka yaliyoanzishwa mwaka 2004 kutokana na kuunganishwa kwa Kombe la CAF na Kombe la Washindi wa Kombe la Afrika na kuandaliwa na CAF.

Vilabu vinafuzu kwa shindano hilo kulingana na uchezaji wao katika Ligi zao za kitaifa na mashindano ya vikombe.

Orodha ya timu zilizofuzu Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023

1:ASEC Mimosas – Ivory Coast
2:Marumo Gallants – South Africa
3:Young Africans – Tanzania
4:USM Alger – Algeria

Ratiba ya Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023

👉Young Africans vs Malumo Gallants (Nusu Fainali ya Kwanza)
👉ASEC Mimosas vs USM Alger (Nusu Fainali ya Pili)

Michezo ya kwanza ya Nusu Fainali CAF Confederation Cup itapigwa May 10, 2023 na marudiano itakuwa May 17, 2023.

Matokeo yote ya Robo Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023.

FT ASEC Mimosas 2-0 Monastir (Agg: 2-0)
FT Malumo Gallants 1-0 Pyramids (Agg: 2-1)
FT Yanga SC 2-0 Rivers UTD (Agg: 2-0)
FT AS FAR 3-2 USM Alger (Agg: 3-4)

Ni Shindano la Pili kwa ukubwa ngazi ya  vilabu barani Afrika, likiwa chini ya Ligi ya Mabingwa ya CAF.

Mshindi wa michuano hiyo hukutana na Mshindi wa CAF Champions League katika msimu unaofuata wa CAF Super Cup.

Vilabu vya Morocco vina idadi kubwa ya ushindi (mataji 7), ikifuatiwa na Tunisia yenye mataji (5) ,Morocco ina idadi kubwa ya timu zilizoshinda taji hilo.

TIMU zilizofuzu Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023,CAF Confederation Cup players,CAF Confederation Cup live score,CAF Confederation Cup final 2023,Nusu Fainali CAF Confederation Cup.

Ratiba ya Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2023,Ratiba Nusu Fainali CAF Confederation 2023,timu zilizofuzu Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2023,Timu zilizotinga Nusu Fainali Confederation Cup 2023.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *