Timu zilizopata Ushindi Mkubwa hatua ya awali CAF Champions League 2022/2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Timu zilizopata Ushindi Mkubwa CAF Champions League 2022/2023 hatua ya awali
Timu zilizopata Ushindi Mkubwa CAF Champions League 2022/2023 hatua ya awali, CAF Champions League 2022/2023,Yanga, Ahli Tripoli win big as Total Energies CAF Champions League first preliminary round wraps, Yanga SC Tanzania,Ahli Tripoli Libya.

Mashabiki wa Young Africans SC
MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania (NBC Premier League), Klabu ya Young Africans (Yanga) na wenzao wa Libya, Al Ahli Tripoli walifanikiwa kuibuka na ushindi mkubwa zaidi katika Mechi ya awali ya hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF ya 2022/2023 iliyokamilika wikendi hii.
Yanga ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Zalan FC ya Sudan Kusini kwenye Mchezo wa Pili, huku Fiston Kalala Mayele raia wa Kongo alikuwa kwenye kiwango bora kwa mara nyingine tena, akipiga hattrick yake ya pili mfululizo.

Fiston Kalala Mayele Yanga SC
Mabao mengine mawili Katika Mchezo huo yalifungwa na winga Mtanzania Farid Musa Marick na mchezaji mpya Stephen Aziz Ki raia wa Burkina Faso.
Matokeo hayo yaliifanya Yanga kutinga raundi ya kwanza kwa ushindi wa Jumla ya mabao 9-0 baada ya kushinda mabao 4-0 katika mchezo wa kwanza mwishoni mwa wiki iliyopita.

Al Ahli Tripoli SC Libya
Wakati huo huo, Ahli Tripoli ya Libya iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 nyumbani dhidi ya vinara wa Ligi ya Zanzibar, Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo Sports Club (KMKM).
Ahmed Kamal El Trbi alifunga mabao mawili na kuongeza moja kutoka kwa Ibrahim Tandia na Al Gaderi waliposhinda kwa jumla ya mabao 6-0 baada ya kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika Visiwani Zanzibar Katika Uwanja wa Amaan.

Mashabiki wa Yanga SC
Kuona timu zingine zilizopata Ushindi Mkubwa kwenye CAF Champions League 2022/2023 hatua ya awali Bofya 👉👉👉HAPA.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI
Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.
Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.
Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.
Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.
Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.
Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz
- WACHEZAJI wa Yanga waliopitishwa na CAF 2022/2023
- WAPINZANI wa Simba raundi ya Kwanza CAF Champions League hawa hapa

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Tags: Ahli Tripoli Libya., Ahli Tripoli SC Libya, Ahli Tripoli SC., Ahli Tripoli win big as Total Energies CAF Champions League first preliminary round wraps, CAF CCL, CAF Champions League, CAF Champions League 2022/2023, CAF Online 2022/2023, Timu zilizopata Ushindi Mkubwa CAF Champions League 202/2023, Timu zilizopata Ushindi Mkubwa CAF Champions League 2022/2023 hatua ya awali, Timu zilizopata Ushindi Mkubwa CAF hatua ya awali, Timu zilizopata Ushindi Mkubwa hatua ya awali CAF Champions League 2022/2023, YANGA, Yanga SC Tanzania, Young Africans SC, Young Africans Tanzania
JAMAN yanga hatar