TIMU Zitakazoshiriki CAF Super Cup 2023

Filed in Michezo by on 22/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

TIMU Zitakazoshiriki CAF Super Cup 2023

TIMU Zitakazoshiriki CAF Super Cup 2023, CAF Super Cup teams,Timu zinazoshiriki Super Cup Africa,CAF Super Cup 2023 fixtures,CAF Super Cup 2023 teams,Timu zitakazo shiriki CAF Super League,When is CAF starting 2023,CAF Super Cup 2023/2024 live scores, results, fixtures and table.

TIMU Zitakazoshiriki CAF Super Cup 2023

KLABU ya Simba inatarajiwa kuwa miongoni mwa Vilabu Vinane katika Ligi Kuu ya Afrika iliyoanzishwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) inayotarajiwa kuanza mwezi August.

Awali ilipendekezwa kuwa timu 24 zilizopendekezwa kutoka nchi 16, lakini zimepunguzwa hadi kubaki timu nane, huku taarifa zikidai kuwa timu 24 itakuwa msimu wa pili wa 2023/2024.

Katika mchakato huo, klabu hizo nane tayari zmetembelewa kwaajili ya kukaguliwa vifaa vyao, viwanja vilivyochaguliwa kutumika, na kuwasiliana kuhusu taarifa za mwisho za Ushiriki wao.

Klabu ya Raja Athletic, Orlando Pirates na Kaizer Chiefs ni miongoni mwa klabu zenye hadhi ya juu ambazo hazitashiriki Mashindano hayo.

CAF imetaja sababu Kuu ya kuanzisha Mashindano hayo kuwa ni kukuza thamani ya mpira wa Miguu Afrika kupitia uwekezaji, udhamini pamoja na mifuko ya maendeleo.

Timu zitakazo cheza Super Cup,Teams in CAF Super League,CAF Super Cup matches,Super Cup Africa 2023 teams,Vigezo vya kushiriki super cup africa,CAF Super 8.

Listi ya timu 8 zitakazoshiriki Mashindano ya CAF Super League 2023.

POT 1:
1.Al Ahly – Egypt
2.Mamelodi Sundowns – South Africa
3.Wydad Athelic – Morocco
4.Esperance de Tunis – Tunisia

POT 2:
5.Simba SC – Tanzania
6.TP Mazembe – DR Congo
7.Petro Luanda – Angola
8.Horoya Athelic – Guinea

Africa Super League imetajwa kuwa itachezwa kwa kipindi cha miezi 10 kuanzia August hadi May kila mwaka.

Fainali za Mashindano hayo ambayo imepewa jina la SuperFinal itachezwa mwishoni mwa mwezi May katika Uwanja utakaoandaliwa kuwa na mfano wa Fainali za SuperBowl (Marekani).

Kupitia mashindano hayo ya CAF SUPER LEAGUE klabu zitapata fedha nyingi ambapo kwanza kila Klabu itapata dola Milioni 2.5 kwaajili ya kusajili Wachezaji na Gharama za Michuano kama Usafiri na Hotel, pia Bingwa atapata dola Milioni 100.

TIMU Zitakazoshiriki CAF Super Cup 2023, CAF Super Cup teams,Timu zinazoshiriki Super Cup Africa,CAF Super Cup 2023 fixtures,CAF Super Cup 2023 teams,Timu zitakazo shiriki CAF Super League,When is CAF starting 2023,CAF Super Cup 2023/2024 live scores, results, fixtures and table.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *