Nijuze Habari App

Tunakwenda kuleta Kombe – Fiston Mayele

Filed in Michezo by on 01/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Tunakwenda kuleta Kombe – Fiston Mayele

Tunakwenda kuleta Kombe - Fiston Mayele

Tunakwenda kuleta Kombe – Fiston Mayele

Mshambuliaji wa Young Africans, ambaye ni Kinara wa Ufungaji katika Kombe la Shirikisho Afrika na Ligi Kuu ya NBC, Fiston Mayele amesema kuwa wanakwenda Algeria wakiwa na dhamira moja tu, kusaka ushindi katika mchezo huo wa mkondo wa Pili wa Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger.

Mayele amesema kuwa watacheza mchezo huo wakiwa hawana presha yoyote akiamini kwamba presha itakuwa kwa wapinzani wao.

“Mechi ya kwanza tulicheza Uwanja wa Benjamin Mkapa tulikuwa na presha kubwa. Mashabiki walikuwa wamejaa na wanataka ushindi. Lakini sasa itakuwa zamu yao USM Alger nao kuwa na presha kucheza mbele na mashabiki wao”

“Sisi hatuna wasiwasi wowote kucheza kwenye uwanja uliojaa ugenini, mimi nimeshiriki mechi nyingi za aina hiyo, tutajitolea kwa nguvu zetu zote ili kuhakikisha tunashinda na kurudi Tanzania na kombe,” alisema Mayele muda mfupi kabla ya kuanza safari ya Algeria.

Msafara wa watu takribani 250 umeondoka leo kuelekea Algeria ukijumuisha wachezaji 29, baadhi ya Viongozi wa Yanga, Wizara ya Michezo ikiongozwa na Waziri Pindi Chama, Mashabiki na wadau wa Soka waliopata Nafasi ya kujumuishwa katika safari hiyo.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
View this post on Instagram

A post shared by Young Africans Sports Club (@yangasc)

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *