Nijuze Habari App

UFAHAMU Ugonjwa wa Vidonda vya tumbo

Filed in Makala by on 25/04/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

UFAHAMU Ugonjwa wa Vidonda vya tumbo

UFAHAMU Ugonjwa wa Vidonda vya tumbo, Dawa ya haraka ya vidonda vya tumbo,vyakula vinavyosaidiakutibu vidonda vya tumbo,aina za vidonda vya tumbo,dawa ya vidonda vya tumbo ya maji,dawa ya haraka ya vidonda vya tumbo,Aina za vidonda vya tumbo,Dawa ya vidonda vya tumbo ya maji,Vyakula vinavyosaidia kutibu vidonda vya tumbo,Dalili za vidonda vya tumbo sugu,Dawa ya haraka ya vidonda vya tumbo,Dawa ya vidonda vya tumbo ya hospital.

UFAHAMU Ugonjwa wa Vidonda vya tumbo

Vidonda vya tumbo ni nini?

Vidonda vya tumbo hufahamika kwa kiingereza kama Peptic Ulcer ni hali ambayo kuna kidonda kwenye tabaka la tumbo au sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo.

  • Dalili kuu ni hisia ya kuungua katika sehemu ya juu ya tumbo baada ya kula.
  • Dalili nyingine ni kiungulia, kubeua, tumbo kujaa gesi na kichefuchefu.
  • Dalili za vidonda vya tumbo huongezeka kadiri muda unavyoenda.

Vidonda vya tumbo vinaweza kusababisha madhara ambayo huhitaji huduma ya dharura.

  • Haya hujumuisha kutokwa damu au kuchimbika shimo katika tumbo la chakula.
  • Madhara haya huweza kusababisha dalili kuanza kwa ghafla.
  • Matibabu ya vidonda vya tumbo hutegemea sababu ya hali hii kutokea.
  • Sababu hiyo ikishatambuliwa na kutibiwa, huwa na matokeo mazuri.

Dalili za vidonda vya tumbo
Dalili za vidonda vya tumbo ni pamoja na:

  • maumivu ya sehemu ya juu ya tumbo,
  • kiungulia,
  • kubeua,
  • tumbo kujaa gesi na
  • kichefuchefu.

Ikiwa kidonda kinatoa damu, unaweza kuona damu nyekundu au damu ilyovilia (damu nyeusi) kwenye kinyesi.

Kutokwa damu kunaweza kuambatanishwa na uchovu na kukosa nguvu.

Mwonekano wa tumbo lenye vidonda

Mwonekano wa tumbo lenye vidonda

Kama kidonda cha tumbo kinasababisha shimo kwenye utumbo, hii inaweza kusababisha maumivu ya ghafla ya tumbo, homa, kichefuchefu na kuzimia.

Vihatarishi

  • Ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea zaidi kwa watu wazima.
  • Visa vingi husababishwa na maambukizi ya bakteria aina ya Helicobater pylori.
  • Sababu zingine za vidonda vya tumbo ni dawa dhidi ya inflamesheni (kama vile aspirin), unywaji mwingi wa pombe kwa muda mrefu na uvutaji wa sigara.

Hivyo basi, kuacha unywaji mwingi wa pombe na uvutaji sigara kunaweza saidia kuepuka madhara ya vidonda vya tumbo, kwani hupunguza uwezekano wa kuvipata.

Uwepo wa magonjwa mengine na utumiaji wa dawa nyingine pia huweza kusababisha vidonda vya tumbo, lakini ni nadra sana.

Utambuzi

  • Utambuzi wa vidonda vya tumbo huweza kuhitajika kufanywa kwa kipimo cha endoscopy (kupitisha kifaa maalum chenye kamera mdomoni hadi tumboni).
  • Vipimo vingine hufanywa wakati wa endoscopy ambavyo vinaweza kutambua chanzo cha vidonda vya tumbo.
  • Maambukizi ya Helicobacter pylori huweza kutambuliwa kwa kipimo cha urea kwenye pumzi.

Matibabu

  • Tiba ya vidonda vya tumbo huwa ni antibiotiki ambayo hulenga kutibu maambukizi ya bakteria yaliyosababisha vidonda hivyo.
  • Kama vidonda vya tumbo vimesababishwa na dawa, daktari wako anaweza kukushauri kuhusu hatari na manufaa ya kutumia hizo dawa.
  • Haishauriwi kutumia maziwa mabichi au almaarufu “maziwa fresh” kama tiba ya vidonda vya tumbo.
  • Maziwa hupunguza maumivu ya tumbo kwa muda mfupi lakini husababisha asidi tumboni kuongezeka.
  • Baadhi ya dawa husaidia kupunguza kiwango cha asidi inayozalishwa tumboni.
  • Hizi zinahitajika wakati kidonda bado kinapona.
  • Kama vidonda vinatoa damu au vinasababisha shimo kwenye utumbo, upasuaji wa dharura unaweza kuhitajika.
  • Hii athari hutokea kwa nadra.

Kinga dhidi ya vidonda vya tumbo
Kutumia kwa makini dawa dhidi ya inflamesheni (kama vile aspirin) ni muhimu katika kuzuia vidonda vya tumbo, hasa kwa watu wazima.

Kuacha au kupunguza kuvuta sigara huweza kusaidia kupunguza dalili na kuzuia vidonda vipya.

Ubashiri
Ikiwa sababu ya vidonda vya tumbo haijatambuliwa na kutibiwa, dalili huweza kuendelea kwa miezi au miaka.

Kwa tiba sahihi, watu wengi hupona vizuri na huwa hawana matatizo endelevu.

Inawezekana kuambukizwa tena na bakteria wa Helicobacter pylori, kwa hiyo vidondoa vya tumbo vinaweza kujirudia.

Tiba Mbadala Dawa za asili za vidonda vya tumbo zipo nyingi

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Watu wengi hawajui kuwa vidonda vya tumbo husababishwa na mienendo mibaya ya maisha yetu na mfumo wa chakula cha kila siku.

Dawa kama Omeprazole, Tagament, Cimetidine na nyingine nyingi za hospitali huwa zinapunguza maumivu kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.

Dawa hizi hupunguza asidi (tindikali) ambayo huharibu kuta za mfuko wa chakula.

Zinazuia asidi tu, bila kushugulika na chanzo cha kuongezeka kwa hiyo tindikali.

Kwa hiyo, bila kuondoa chanzo kinachosababisha kuongezeka kwa asidi hiyo, huwezi kupona.

Dawa za vidonda vya tumbo zinatakiwa zitumike pale panapohitajika tu, siyo maisha yako yote.

Kwa kawaida dawa za hospitali mara nyingi huja na maudhi mbalimbali kwa kuwa ni dawa ambazo zimetengenezwa kwa kemikali.

Dawa pekee ambazo ni rahisi na za uhakika na hazina madhara ni dawa asili.

Changamoto kubwa kwa hapa nchini ni kuwa huduma hii ya tiba asili bado haijapata wataalamu wengi waliobobea wa kutoa bidhaa bora na zenye kufanyiwa utafiti wa kutosha na zenye kiwango cha kimataifa.

Vidonda vya tumbo ni nini?

Ni kuharibika kwa ukuta wa tumbo la chakula na sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba. Kuna aina kuu mbili za vidonda vya tumbo

1. Gastric ulcers-hivi hutokea kwenye mfuko wa tumbo la chakula.

2. Duodenal ulcers-hivi hutokea sehemu ya mwanzo ya utumbo mwembamba.

Chanzo cha vidonda vya tumbo ni kuongezeka kwa asidi kwenye tumbo la chakula.

Dalili za vidonda

Baadhi ya dalili za vidonda vya tumbo njaa kupita kiasi hasa usiku, tumbo kuwaka moto sehemu ya juu kwenye chembe, tumbo kujaa gesi, kuhisi kichefu chefu na kuharisha kutokana na kubagua vyakula.

Tiba asili ya vidonda vya tumbo

Kuna aina nyingi za dawa za vidonda vya tumbo tena zinazosababisha kupona kabisa.

Changanya mdarasini, khurinjani, tangawizi, habasoda na manjano. Vyote viwe na ujazo sawa kisha changanya.

Kisha chota kijiko kimoja na asali vijiko vitatu kisha weka kwenye glasi ya maziwa au uji na unywe kutwa mara tatu. Hakikisha hizo dawa unazipata zikiwa mpya.

Epuka dawa zilizokaa dukani miaka mingi, kwa kuwa hazina nguvu.

Mwandishi wa makala haya ni mtaalamu wa tiba mbadala.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *