Nijuze Habari

UZI mpya wa Yanga SC msimu wa 2022/2023 huu hapa

Filed in Michezo by on 28/07/2022 0 Comments

JEZI mpya za Yanga SC 2022/2023BAADA ya kusaini Mkataba mpya wa udhamini na Kampuni ya Sportpesa Tanzania jana, leo Alhamisi ya July 28,2022, Klabu ya Yanga SC imezindua jezi mpya kwaajili msimu wa 2022/2023.JEZI mpya za Yanga SC 2022/2023

Nijuze Habari Application

UZI mpya wa Yanga SC msimu wa 2022/2023 huu hapa

JEZI mpya za Yanga SC 2022/2023BAADA ya kusaini Mkataba mpya wa udhamini na Kampuni ya Sportpesa Tanzania jana, leo Alhamisi ya July 28,2022, Klabu ya Yanga SC imezindua jezi mpya kwaajili msimu wa 2022/2023.JEZI mpya za Yanga SC 2022/2023

Akizungumza katika halfa ya Uzinduzi huo uliofanyika kwenye Hotel ya Serena Jijini Dar es Salaam, Sheria Ngowi aliyebuni jezi hizo, amesema kuwa kila toleo linabeba alama yake.JEZI mpya za Yanga SC 2022/2023

Jezi za nyumbani (kijani) zimenakshiwa na vivutio muhimu katika nchi ya Tanzania wakati jezi ya ugenini (njano) imebeba ujumbe wa kuunganisha matawi yote ya Yanga Tanzania.JEZI mpya za Yanga SC 2022/2023

Jezi ya tatu ambayo hutumika kwa dharura, imebeba historia ya wachezaji waliowahi kutamba miaka ya nyuma kunako klabu ya Yanga.JEZI mpya za Yanga SC 2022/2023

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema jezi hiyo zitapatika nchi nzima kuanzia kesho Ijumaa July 29,2022.JEZI mpya za Yanga SC 2022/2023

Hersi ametajaza bei elekezi ya jezi hiyo kuwa ni Tsh 35,000 tu na kuwaasa Wananchi kuepuka kununua jezi kwa bei tofauti na hiyo.JEZI mpya za Yanga SC 2022/2023

UZI mpya wa Yanga SC msimu wa 2022/2023 huu hapa

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.