Nijuze Habari

VIDEO: Makala Maalum ya SENSA ya Watu na Makazi itakavyofanyika August 23,2022

Filed in Habari by on 21/08/2022 0 Comments

Nijuze Habari Application

AJIRANI? Bado leo na kesho, Nakumbuka sana jirani kuhusu Sensa August 23,2022

Sensa ya Watu na Makazi ni zoezi la kitaifa linalofanyika kila baada ya miaka 10 ambapo Sensa ya mwisho kufanyika nchini ni ile ya mwaka 2012.

Hivyo Sensa ya mwaka 2022 itakuwa ni sensa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964. Sensa nyingine zilifanyika mwaka 1967, 1978, 1988, 2002 na 2012.
JIRANI? Bado leo na kesho Nakumbuka sana jirani kuhusu Sensa August 23 2022Umuhimu wa kipekee wa Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 ni pamoja na:-
Kuisadia Serikali kupata taarifa za msingi zitakazosaidia mchakato wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya mwaka 2025, mageuzi ya masuala ya afya na jamii, pamoja na ufuatiliaji wa ajenda za maendeleo za kimataifa;
Taarifa za idadi ya watu husaidia katika mamlaka za wilaya katika utekelezaji wa mipango ya maendeleo ambayo huakisi matakwa ya watu katika ngazi husika na kusaidia kwenye uwiano wa mgawanyo wa rasilimali;
Taarifa za msingi za hali ya kidemografia, kijamii na kiuchumi za idadi ya watu na makazi za mipango katika ngazi zote;
Kigawio katika kukokotoa viashiria vingine mfano Pato la mtu mmoja mmoja, Pato la Taifa, Ajira na ukosefu wa Ajira na kiwango cha uandikishaji wa wanafunzi;
Taarifa itakayowezesha serikali kujua ongezeko la idadi ya watu, kwa mgawanyo na viashiria vingine, ambavyo ni muhimu kwa usimamizi wa mazingira; na
Msingi wa utawala bora na ujumuishaji wa demokrasia. Takwimu sahihi za Sensa zinahitajika kwa ajili ya ugawaji wa majimbo ya uchaguzi kwa ufanisi, kurekebisha mipaka ya kiutawala katika serikali za mitaa.

RATIBA ya SENSA na Malipo ya zoezi la SENSA 2022

Pdf Majina ya waliochaguliwa Interview Sensa Jobs 2022 Majina Ya Waliochaguliwa Usaili Sensa 2022 (ajira.nbs.go.tz) | TAMISEMI Majina ajira za sensa 2022.

This article give important updates about majina walioomba sensa 2022| Majina ya sensa Majina ya waliochaguliwa sensa 2022 PDF Download,Majina ya sensa 2022, Majina Ajira Za Sensa 2022 PDF.2022.

Ratiba Ya Sensa Malipo Ya Zoezi La Sensa 2022 Sensa Job Opportunities 2022   The Government of the United Republic of Tanzania plans to conduct a Population and Housing Census by August 2022. The Ministry of Finance and Planning through the National Bureau of Statistics (NBS) in collaboration with the Office of the Chief Statistician of Zanzibar (OCGS), is in the process of preparing to conduct the Census.Sensa online 2022,sensa online,sensa Tanzania 2022,sensa application 2022,malipo ya sensa/Ratiba ya mafunzo sensa 2022

The Population and Housing Census is a national exercise conducted every 10 years where the last census to be held in the country is the one in 2012.

The following below attached image show that names of employees will be announced online from July 24th to 25th July.RATIBA ya SENSA na Malipo ya zoezi na SENSA 2022

Date To Release Majina Ajira Za Sensa 2022

Thus the Census 2022 will be the Sixth Census to be held in the country after the Union of Tanganyika and Zanzibar in 1964.

MUHIMU KUHUSU KAZI YA SENSA

Posho kwa kazi nzima ya sensa ni kama ifuatavyo: Makarani/Tehama/Maudhui.

1.Semina 35,000xsiku 5=175,000
2.Nauli 5,000xsiku 5=25,000 3.Chakula na viburudisho 10,000xsiku 5=50,000
4.Posho ya kazi 50,000xsiku 5=250,000.

NB: siku 1 ya kuchukua vifaa, siku 3 za kazi na siku 1 ya kukabidhi vifaa na nyaraka za kazi Jumla siku 5.

Malipo yote jumla ni Tsh 500,000 (laki tano)

RATIBA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI MWAKA 2022

Ratiba ya SENSA 2022

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.