VIDEO: Malumo Gallants wawasili Dar, Wagomea Usafiri, Kocha azuiwa Kuzungumza

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


VIDEO: Malumo Gallants wawasili Dar, Wagomea Usafiri, Kocha azuiwa Kuzungumza

VIDEO: Malumo Gallants wawasili Dar, Wagomea Usafiri, Kocha azuiwa Kuzungumza
KIKOSI cha Marumo Gallants kimetua kwenye Ardhi ya Tanzania kutokea Nchini South Africa kwaajili ya Mchezo wa Kwanza hatua ya Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika.
Mara baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam timu hiyo iligomea kutumia basi ambalo limeandaliwa na wenyeji wao Young Africans kwa muda wote watakaokuwa hapa Tanzania na wametumia basi jingine ambalo waliliandaa wenyewe.
Aidha Kocha Mkuu wa Malumo Gallants, Dylan Kerr hajazungumza chochote na waandishi wa Habari mara baada ya kutua nchini kufuatia katazo la Meneja wa timu hiyo .
Marumo wanatarajiwa kucheza mchezo huo dhidi ya Young Africans kesho Jumatano May 10,2023 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia Saa 10:00 Jioni.
Mmoja wa Wachezaji amekiri kumfahamu Bernard Morrison na kueleza kuwa ni Mchezaji hatari ambaye amewahi kucheza naye.
Unaweza Kudownload Video hii kwa bofya HAPA Utazame kwenye Simu yako bila kutumia Bando
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Kocha azuiwa Kuzungumza, VIDEO: Malumo Gallants wawasili Dar, Wagomea Usafiri