LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

VIDEO: Mke wa Mwenyekiti abakwa na kuuawa na Kijana aliyepewa hifadhi

Filed in Habari by on 14/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

VIDEO: Mke wa Mwenyekiti abakwa na kuuawa na Kijana aliyepewa hifadhi

VIDEO: Mke wa Mwenyekiti abakwa na kuuawa na Kijana aliyepewa hifadhi

VIDEO: Mke wa Mwenyekiti abakwa na kuuawa na Kijana aliyepewa hifadhi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linaendelea kumtafuta Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Kijiji cha Kishogo Wilaya ya Bukoba Vijijini kwa kosa la mauaji ya Hadija Ismail miaka 29 Mkazi wa Mtaa wa National Housing Rwamishenye, Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera.

Mwanaume huyo alikuwa anaishi nyumbani kwa Mwenyekiti baada yakumuonea huruma na kumchukua kuishi naye kama Mwanafamilia akifanya shughuli za Ujenzi kwa kushirikiana na mwenyekiti huyo tangu mwezi wa 11, 2022.

Jana Jumatatu tarehe 13,2023 majira ya saa 12 Jioni Mwanaume huyo alitenda unyama huo baada ya kumpiga Hadija Ismail na kitu kizito kichwani kisha kumbaka, baada ya kutekeleza tukio hilo Mwanaume huyo alitoweka na kutokomea kusikojulikana.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *