LIVE MBEYA CITY VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 10:00 Jioni.

LIVE SIMBA VS POLISI TANZANIA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Leo Saa 1:00 Usiku. 

VIINGILIO Simba vs Raja Casablanca 18 February 2023

Filed in Michezo by on 17/02/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

VIINGILIO Simba vs Raja Casablanca 18 February 2023

VIINGILIO Simba vs Raja Casablanca 18 February 2023,Viingilio Simba SC vs Raja Club Athletic, viingilio Simba SC vs Raja Casablanca Football Club, Simba vs Raja Club Athletic, Viingilio Simba Sports Club vs Raja Club Athletic CAF Champions League, Viingilio Simba vs Raja Club Athletic Ligi ya Mabingwa Afrika.

VIINGILIO Simba vs Raja Casablanca 18 February 2023 CAF Champions League

VIINGILIO Simba vs Raja Casablanca 18 February 2023 CAF Champions League

Baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa kundi C Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya Athletic Club ya Guinea kwa bao 1-0, Klabu ya Simba inatatajiwa kucheza mchezo wa pili wa Kundi hilo dhidi ya Raja Casablanca ya Morocco.

Mchezo huo wa pili kwa timu zote unatarajiwa kuchezwa February 18, 2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam kuanzia saa 1:00 Usiku.

Kuelekea mchezo wa huo Simba imetaja Viingilio ambapo kiingilio cha chini kitakuwa Tsh 3,000 kwa Mzunguuko.

Viingilio vilivyopangwa ni kama inavyoonekana hapa chini!

Mzunguko Sh. 3,000
VIP C Sh. 10,000
VIP B Sh. 20,000
VIP A Sh. 30,000

Simba inahitaji Ushindi wa lazima dhidi ya Raja Club Athletic (Raja Casablanca) ili kufufua matumaini ya kuvuka hatua ya Makundi na kutinga robo Fainali ya Michuano hiyo Mikubwa Afrika ngazi ya Vilabu.

Raja Club Athletic, mchezo wa kwanza iliibuka na Ushindi mnono wa mabao 5-0 dhidi ya Vipers SC ya Uganda, huku Simba ikipoteza kwa bao 1-0 kutoka kwa Horoya Athletic Club.

Kwenye Msimamo wa Kundi C, Raja Club Athletic wanaongoza kwa faida ya magoli mengi wakiwa na pointi 3 sawa na Horoya Athletic Club wenye faida ya goli 1, Simba ni wa tatu kwenye Msimamo huo, huku Vipers SC wakiwa wa mwisho baada ya kuruhusu magoli mengi.

Vipers SC wao watawakaribisha Horoya Athletic Club kwenye Uwanja wa St Mary’s nchini Uganda siku hiyo February 18 kuanzia saa 10:00 Jioni.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

DONWLOAD NIJUZE TV HAPA SISI kwetu Michezo ndiyo Furaha YETU.

VIINGILIO Simba vs Raja Casablanca 18 February 2023 CAF Champions League

Simba Sports Club is a football club based in Kariakoo, Dar es Salaam Tanzania, Founded in 1936, the club, which broke away from another giant football team in Tanzania, Dar Young Africans was first named Queens, in honour of her Majesty, the Queen of England.

Founded in 1936, the club, which broke away from another giant football team in Tanzania, Dar Young Africans was first named Queens, in honour of her Majesty, the Queen of England.

The Club had several name changes from Queens to Eagles, then, Sunderland. In 1971 they have renamed Simba (Swahili for “Lion”).

Simba SC has won 21 league titles and five domestic cups, and has participated in the CAF Champions League multiple times. They are also one of the biggest clubs in East Africa, having won the CECAFA Club Championship six times.

Simba plays their home games at the Benjamin Mkapa Stadium. In 2022, Simba was the fastest-growing Instagram account among football clubs, with 1.9 million followers and a growth of 89% from the previous year.

The club is one of the richest in East Africa, with a total budget of Sh 6.1 Billion (equivalent to $5.3 million) unveiled for the 2019/2020 season.

The highest continental success that Simba achieved reaching the final of the CAF Cup in 1993, when they lost to Stella Club of Côte d’Ivoire. It was the highest continental achievement by a Tanzanian team to date.

In 2003 Simba beat the then-reigning champions Zamalek of Egypt in the CAF Champions League second round of qualifiers to qualify to the group stages, after having beat Santos of South Africa in the first round.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *