Nijuze Habari

VIINGILIO Tanzania vs Algeria, June 08,2022

Filed in Michezo by on 07/06/2022 0 Comments

VIINGILIO Tanzania vs Algeria, June 08,2022TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kesho Jumatano Juni 08 2022, kuwakabili vigogo wa Afrika Algeria kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON 2023.

Nijuze Habari Application

VIINGILIO Tanzania vs Algeria, June 08,2022

VIINGILIO Tanzania vs Algeria, June 08,2022TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kesho Jumatano Juni 08 2022, kuwakabili vigogo wa Afrika Algeria kwenye mchezo wa kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON 2023.

Tanzania inahitaji kushinda mchezo huo ili kuweka hai matumaini ya kufuzu michuano hiyo inayotajiwa kufanyika nchini Ivory Coast., Lengo kuu ni kuhakikisha Tanzania inachukua alama tisa katika michezo yote mitatu itakayopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam.

Aidha Tanzania iliianza vyema michuano hiyo, ambapo mchezo wa kwanza ugenini ilifanikiwa kupata pointi moja dhidi ya Niger, mchezo uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo kwa mzunguuko itakuwa Tsh 3,000 tu, wakati VIP A, B na C itakuwa Tsh 5,000.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇👇👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.