telegram Nijuze Habari

VIINGILIO | Yanga SC vs Simba SC October 23 2022 NBC Premier League

Filed in Michezo by on 17/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

VIINGILIO | Yanga SC vs Simba SC October 23 2022 NBC Premier League

Viingilio Yanga vs Simba October 23 2022 | Viingilio Simba SC vs Yanga SC, Viingilio vya Yanga vs Simba 23 October 2022, Simba Sports Club vs Young Africans SC 23 October 2022, Simba SC vs Yanga SC NBC Premier League, Yanga vs Simba Yanga Ligi Kuu, Yanga vs Simba watani wa Jadi, Matokeo Simba vs Yanga October 23 2022.

VIINGILIO | Yanga SC vs Simba SC October 23 2022 NBC Premier League

VIINGILIO | Yanga SC vs Simba SC October 23 2022 NBC Premier League

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza Viingilio vya Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) Kati ya Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Simba SC.

VIINGILIO | Yanga SC vs Simba SC October 23 2022 NBC Premier League

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa Jumapili hii ya October 23 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar ambapo wenyeji wa Mchezo huo watakuwa Yanga SC.

VIINGILIO vya mchezo wa vimewekwa wazi Leo Jumatatu ya October 17 2022 na Shirikisho ambapo kiingilio cha chini ni Tsh 5,000 tu.

Kuona Viingilio vyote Bofya HAPA

Timu hizo zitakutana katika kuwania Ubingwa wa msimu huu wa 2022/2023 zikiwa na pointi 13 zote huku tofauti ikiwa ni ya mabao ambapo Simba ina mabao 9 huku Yanga ikiwa na mabao 7.

Kariakoo Derby, Dar es Salaam Debry 23 October 2022, Viingilio vya Mchezo wa Derby ya Dar es Salaam Simba SC vs Yanga SC, Matokeo ya Yanga vs Simba October 23 2022, Viingilio ya Simba Sports Club vs Young Africans SC October 23 2022, Viingilio Yanga SC vs Simba SC 23 October 2022, Yanga vs Simba.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *