Nijuze Habari App

VIINGILIO Yanga vs ASAS FC – CAF Champions League 2023

Filed in Michezo, New by on 17/08/2023 0 Comments
Share This

SHINDA 50,000 BURE KILA SIKU BONYEZA HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

VIINGILIO Yanga vs ASAS FC – CAF Champions League 2023

VIINGILIO Yanga vs ASAS FC – CAF Champions League 2023, Mchezo wa kwanza wa hatua ya awali Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League 2023/2024) kati ya ASAS FC ya Djibout dhidi ya Yanga unatarajiwa kupigwa Jumapili ya August 20 katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari, Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga, Ali Kamwe amesema kuwa wamepokea maelekezo kutoka Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) kuwa mechi zote za hatua ya awali dhidi ya ASAS FC zitapigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex.

Mchezo wa kwanza utapigwa Jumapili ijayo na mchezo wa pili utapigwa Jumapili ya wiki itakayofuata ya August 28 katika uwanja wa huo huo uliopo nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.

Aidha Kamwe ametangaza Viingilio vya mchezo huo kuwa itakuwa ni Tsh 30,000 kwa VIP A 30,000 na Tsh 20,000 VIP B, huku Mzunguuko ikiwa ni Tsh 5,000 tu.

Kwa kuwa uwanja wao haukukidhi vigezo vya CAF, timu hiyo imelazimika kucheza mechi yake ya nyumbani katika uwanja wa Azam Complex

Mchezo wa kwanza ukipigwa August 20 wakiwa wenyeji na mchezo wa pili utapigwa August 28 Yanga wakiwa wenyeji.

Tiketi za mchezo wa kwanza #CAFCL Kati ya ASAS Djibouti dhidi ya Yanga zinapatikana Katika vituo tajwa.

Tiketi za mchezo wa kwanza #CAFCL Kati ya ASAS Djibouti
dhidi ya Yanga zinapatikana Katika vituo tajwa.

VIINGILIO Yanga vs ASAS FC – CAF Champions League 2023, Viingilio Yanga vs ASAS FC Leo, Viingilio Yanga SC vs ASAS FC Djibouti, Viingilio Yanga vs ASAS CAF Champions League August 2023, Viingilio Young Africans vs Asas FC Djibouti CAF Champions League August 2023, Viingilio Young Africans SC vs ASAS FC Leo August 2023.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *