VIINGILIO Yanga vs USM Alger May 28 2023

Filed in Michezo by on 22/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA

VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

VIINGILIO Yanga vs USM Alger May 28 2023

VIINGILIO Yanga vs USM Alger May 28 2023,Young Africans vs USM Alger, Viingilio Yanga vs USM Alger, Rais Samia atoa tiketi 500 Young Africans vs USM Alger,Why not Us, Tukutane Benjamin Mkapa,Yanga dhidi ya USM Alger, Young Africans dhidi ya USM Alger May 28,Yanga SC vs USM Alger Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2023, Viingilio Young Africans vs USM Alger Nusu Fainali CAF Confederation Cup

VIINGILIO Yanga vs USM Alger May 28 2023

MSEMAJI wa Serikali, Gerson Msigwa ameikabidhi Klabu ya Yanga Tsh Milioni 20 ambayo ni ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ikiwa ni Bonus baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa mkondo wa pili Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya Marumo Gallants ya Afrika Kusini.

Tukio hilo limefanyika Leo kwenye Mkutano wa Wanahabari ulioandaliwa na Klabu hiyo, ukifanyika uwanja wa Benjamin Mkapa kuelekea mchezo wa Fainali ya Kwanza dhidi ya USM Alger ya Algeria ambao utapigwa Jumapili ya May 28,2023.

Aidha kuelekea mchezo huo wa Fainali, Rais Dk Samia amenunua tiketi 5,000 kwaajili ya Mashabiki kuingia kwa wingi Uwanja wa Benjamin Mkapa kuisapoti Klabu hiyo ambayo ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC Msimu huu wa 2022/2023.

Yanga imemshukuru Rais Dk Samia kwa kutoa Usafiri wa Ndege itakayowapeleka Algeria kwenye mchezo wa Fainali mkondo wa Pili ambao utapigwa June 03 nchini Algeria.

VIINGILIO Yanga vs USM Alger May 28 2023,Young Africans vs USM Alger, Viingilio Yanga vs USM Alger, Rais Samia atoa tiketi 500 Young Africans vs USM Alger,Why not Us, Tukutane Benjamin Mkapa,Yanga dhidi ya USM Alger, Young Africans dhidi ya USM Alger May 28,Yanga SC vs USM Alger Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2023, Viingilio Young Africans vs USM Alger Nusu Fainali CAF Confederation Cup

VIINGILIO Yanga vs USM Alger May 28 2023

Katika Mkutano huo Afisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe amevitangaza viingilio vya mchezo huo dhidi ya USM Alger huku akiwataka Mashabiki na Wanachama wa Yanga kuhakikisha wananunua tiketi zote ili kuujaza Uwanja wa Benjamin Mkapa.

“Tutaanza na tiketi za Royal ambazo ndani yake kumekuwa na package tofauti kama Usafiri wa kwenda Uwanjani, Chakula wakati wa mchezo, jezi maalum za Ubingwa wa Ligi kuu ambapo kiingilio ni Tsh 200,000/-”

Viingilio vingine Ali Kamwe ametaja kuwa ni Tsh 100,000 kwa VIP A, Tsh 30,000 kwa VIP B, Tsh 15,000 kwa VIP C na Tsh 5,000 kwa Mzunguuko.

Ali Kamwe amefafanua kuwa wale watakaokata tiketi za VIP A watakuwa na fursa ya kupata Chakula uwanjani kama ilivyo kwa Royal.

Mchezo huo unatajiwa kupigwa May 28, 2023 kuanzia saa 10 jioni na Kauli mbiu ni WHY NOT US, TUKUTANE BENJAMIN MKAPA.

 FULL VIDEO: YANGA YAANIKA MPANGO MZIMA WA KUWAMALIZA WAARABU DOWNLOAD HERE

VIINGILIO Yanga vs USM Alger May 28 2023,Young Africans vs USM Alger, Viingilio Yanga vs USM Alger, Rais Samia atoa tiketi 500 Young Africans vs USM Alger,Why not Us, Tukutane Benjamin Mkapa,Yanga dhidi ya USM Alger, Young Africans dhidi ya USM Alger May 28,Yanga SC vs USM Alger Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Afrika 2023, Viingilio Young Africans vs USM Alger Nusu Fainali CAF Confederation Cup

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *