Nijuze Habari App

VIWANGO vipya vya CAF, Simba yazidi kupaa, Yanga yasogea

Filed in Michezo by on 04/04/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

VIWANGO vipya vya CAF, Simba yazidi kupaa, Yanga yasogea

VIWANGO vipya vya CAF, Simba yazidi kupaa, Yanga yasogea, Viwango vya vilabu bora afrika 2023,vilabu bora afrika 2022/2023,Yanga nafasi ya ngapi africa 2023,Vilabu bora afrika 2023 CAF,Yanga iko nafasi ya ngapi afrika,Vilabu 50 bora afrika 2023,Simba ipo nafasi ya ngapi africa 2023,Simba nafasi ya ngapi afrika,Yanga ni ya ngapi duniani,Viwango vya soka afrika 2023,Vilabu 30 bora afrika 2023,Yanga ni ya ngapi duniani.

VIWANGO vipya vya CAF, Simba yazidi kupaa, Yanga yasogea

KLABU ya Simba SC, imeendelea kupaa kwenye viwango vya Ubora Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) baada ya kukamilika kwa hatua ya Makundi ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.

Simba imepanda kwa nafasi nne kutoka nafasi ya 11 hadi nafasi ya 7 mwezi April 2023.

Klabu hiyo ni miongoni mwa timu nane zilizofuzu Robo Fainali Ligi ya Mabingwa wakisubiri kwa hamu droo ya robo Fainali itakayopigwa kesho Jumatano nchini Misri.

Baada ya Klabu ya Yanga kufanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika imeendelea kusogea sogea katika viwango vya Ubora Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF)

Kwa mujibu wa Msimamo uliotolewa na CAF, baada ya kukamilika kwa mechi za Makundi Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho, Klabu ya Yanga imepanda hadi nafasi ya 20 kutoka nafasi ya 46 ilipokua.

Yanga yenye makazi yake Jijini Dar es salaam imekuwa na mafanikio makubwa msimu huu wa 2022/2023, mafanikio yaliyoifanya kuingia kwenye orodha ya timu 20 Bora barani Afrika.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Klabu hiyo bado inayo nafasi ya kupanda zaidi, endapo itafanikiwa kutinga Nusu Fainali, wakiwa na faida ya kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani kwenye mechi za robo Fainali.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *