Nijuze Habari App

VIWANGO vya kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 23 May 2023

Filed in Makala by on 23/05/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

VIWANGO vya kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 23 May 2023

VIWANGO vya kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 23 May 2023

VIWANGO vya kubadilisha Fedha za Kigeni Leo 23 May 2023

LEO May 23,2023, Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa Shilingi 2871.95 na kuuzwa kwa Shilingi 2901.83 huku Faranga ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa Shilingi 2.04 na kuuzwa kwa Shilingi 2.09.

Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Jumanne May 23, 2023 na Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Dirham ya Umoja wa Falme za Kiarabu (AED) inanunuliwa kwa shilingi 627.86 na kuuzwa kwa shilingi 633.96 huku Schillingi ya Australia (ATS) ikinunuliwa kwa shilingi 147.93 na kuuzwa kwa shilingi 149.24.

Dola ya Zimbabwe (ZWD) inanunuliwa kwa shilingi 0.43 na kuuzwa kwa shilingi 0.44 huku Euro ya Ulaya (EUR) inanunuliwa kwa shilingi 2495.03 na kuuzwa kwa shilingi 2520.91.

Yen ya Japan (JPY) inanunuliwa kwa shilingi 16.67 na kuuzwa kwa shilingi 16.84 huku Yuan ya China (CNY) ikinunuliwa kwa shilingi 327.98 na kuuzwa kwa shilingi 331.24.

Dola ya Australia (AUD) inanunuliwa kwa shilingi 1531.88 na kuuzwa kwa shilingi 1547.66 huku SDR ya Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) ikinunuliwa kwa shilingi 3079.66 na kuuzwa kwa shilingi 3110.46.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.59 na kuuzwa kwa shilingi 0.62 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 2.21 na kuuzwa kwa shilingi 2.22.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1707.51 na kuuzwa kwa shilingi 1724.07 huku Franka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 2573.75 na kuuzwa kwa shilingi 2598.33.

Shilingi ya Kenya (KES) inanunuliwa kwa shilingi 16.74 na kuuzwa kwa shilingi 16.88 huku Kwacha ya Malawi (MWK) ikinunuliwa kwa shilingi 2.09 na kuuzwa kwa shilingi 2.25.

Krona ya Sweden (SEK) inanunuliwa kwa shilingi 219.37 na kuuzwa kwa shilingi 221.52 huku Randi ya Afrika Kusini (ZAR) ikinunuliwa kwa shilingi 119.48 na kuuzwa kwa shilingi 120.66.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2305.31 na kuuzwa kwa shilingi 2328.36 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 7506.21 na kuuzwa kwa shilingi 7578.80.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today May 23rd, 2023 according to Central Bank (BoT);

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *