Nijuze Habari

VIWANJA Vitano vyapigwa Stop kutumika Ligi Kuu ya NBC

Filed in Michezo by on 10/08/2022 0 Comments

VIWANJA Vitano vyapigwa Stop kutumika Ligi Kuu ya NBCSHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha Viwanja vitano (5) kutumika kwenye mechi za Ligi Kuu ya NBC kwa kutokidhi vigezo wakati vingine vitatu vitaruhusiwa baada ya marekebisho yanayoendelea kukamilika na kupitishwa na Kamati ya Leseni za Klabu.

Nijuze Habari Application

VIWANJA Vitano vyapigwa Stop kutumika Ligi Kuu ya NBC

VIWANJA Vitano vyapigwa Stop kutumika Ligi Kuu ya NBCSHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesimamisha Viwanja vitano (5) kutumika kwenye mechi za Ligi Kuu ya NBC kwa kutokidhi vigezo wakati vingine vitatu vitaruhusiwa baada ya marekebisho yanayoendelea kukamilika na kupitishwa na Kamati ya Leseni za Klabu.

Viwanja hivyo vilivyosimamishwa ni
Mkwawani (Tanga)
Nyankumbu Girls (Geita)
Ushirika (Moshi)
Mabatini (Pwani) na
Jamhuri (Dodoma).

Viwanja ambavyo viko kwenye marekebisho ni
Majaliwa (Ruangwa, Lindi)
Sokoine (Mbeya) na
Kaitaba (Bukoba).

Jumla ya viwanja tisa vimepitishwa kutumika kwenye Ligi Kuu ya NBC, ambavyo ni
Benjamin Mkapa (Dar es Salaam)
Kirumba (Mwanza)
Chamazi (Dar es Salaam)
Highland Estate (Mbarali, Mbeya)
Karatu (Arusha)
Liti (Singida)
Manungu (Turiani, Morogoro)
Sheikh Kaluta Amri Abeid (Arusha) na
Uhuru (Dar es Salaam).

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.