Nijuze Habari App

WAFAHAMU Mashujaa FC – Mashujaa wa Lake Tanganyika

Filed in Makala, Michezo, New by on 25/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

WAFAHAMU Mashujaa FC – Mashujaa wa Lake Tanganyika

WAFAHAMU Mashujaa FC - Mashujaa wa Lake Tanganyika,mashujaa fc table, mashujaa fcv s mbeya city, mashujaa fc fixtures,mashujaa, fc results, Mashujaa FC history, Historia ya Mashujaa FC Kigoma, Historia ya Mashujaa Football Club Kigoma,ifahamu Mashujaa FC.

WAFAHAMU Mashujaa FC – Mashujaa wa Lake Tanganyika

WAFAHAMU Mashujaa FC – Mashujaa wa Lake Tanganyika,Wafahamu Mashujaa Football Club Mashujaa Football Club Kigoma ni klabu ya soka ya Tanzania yenye maskani yake Mjini Kigoma, Tanzania.

Klabu hiyo ilianzishwa mwaka 1978 na tangu wakati huo imeshiriki Mashindano mbalimbali ya kandanda ya kikanda na kitaifa.

Wafahamu Mashujaa Football Club Kigoma, Klabu hiyo imekuwa na mafanikio makubwa kwa miaka mingi.

Mwaka 2006, ilitwaa Ubingwa wa Ligi ya Mkoa wa Kigoma na kwenda kushiriki Ligi Daraja la Pili Tanzania. Mwaka 2010, walitwaa Kombe la Mkoa wa Kigoma na kuwa washindi wa pili wa Ligi Daraja la Pili Tanzania.

Klabu ya Mashujaa Football Club Kigoma ina Mashabiki wengi mkoani Kigoma na imechangia maendeleo ya soka nchini Tanzania.

WAFAHAMU Mashujaa FC - Mashujaa wa Lake Tanganyika,mashujaa fc table, mashujaa fcv s mbeya city, mashujaa fc fixtures,mashujaa, fc results, Mashujaa FC history, Historia ya Mashujaa FC Kigoma, Historia ya Mashujaa Football Club Kigoma,ifahamu Mashujaa FC.Klabu hiyo pia imetoa fursa kwa Wachezaji chipukizi kuonyesha vipaji vyao na kutimiza ndoto zao za kuwa wanasoka wa kulipwa.

Kwa ujumla, Klabu ya Mashujaa ya Kigoma ni sehemu muhimu ya soka la Tanzania na inaendelea kutoa mchango mkubwa katika mchezo huo.

Mashujaa FC iliyopanda Ligi Kuu ya NBC 2023/2024, Klabu ya Mashujaa ya Mkoa wa Kigoma imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2023/2024 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu kucheza Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2023/24.

Mchezo huo uliofanyika kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya ulishuhudiwa bao pekee la Mashujaa likifungwa na John Budeba dakika ya 87 na kwa matokeo hayo Mashujaa ilipanda Ligi Kuu ya NBC 2023/23 kwa ushindi wa jumla ya mabao 4-1 kufuatia ushindi wa 3-1 katika mchezo wa kwanza, uliofanyika kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma wiki iliyopita.

Mashujaa ilifika hatua hiyo baada ya kuifunga Pamba FC ya Mwanza, huku Mbeya City ikishuka hadi hatua hii baada ya kufungwa na KMC iliyokuwa kwenye mechi za kwanza za mchujo.

Kwa njia hiyo msimu ujao wa 2023/24 tutakuwa na wageni watatu kutoka kwenye michuano hiyo, mbali na Mshujaa, timu nyingine iliyopanda Ligi Kuu ya NBC msimu ujao ni Mabingwa wa Michuano hiyo 2022/2023 JKT Tanzania na washindi wa pili, Kitayosce FC ya Tabora.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

WAFAHAMU Mashujaa FC – Mashujaa wa Lake Tanganyika,mashujaa fc table, mashujaa fcv s mbeya city, mashujaa fc fixtures,mashujaa, fc results, Mashujaa FC history, Historia ya Mashujaa FC Kigoma, Historia ya Mashujaa Football Club Kigoma,ifahamu Mashujaa FC.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *