WALIOITWA Kwenye Mafunzo ya awali ya Uchunguzi PCCB 2023

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


WALIOITWA Kwenye Mafunzo ya awali ya Uchunguzi PCCB 2023
WALIOITWA Kwenye Mafunzo ya awali ya Uchunguzi PCCB 2023, PCCB news,PCCB portal,Mafunzo ya awali takukuru 2023,Mafunzo ya takukuru, Kazi za TAKUKURU PDF,PCCB meaning, Walioitwa Kwenye Mafunzo ya awali ya Uchunguzi Takukuru 2023,Walioitwa Kwenye Mafunzo Uchunguzi Takukuru.

Walioitwa Kwenye Mafunzo ya awali ya Uchunguzi Takukuru
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) anapenda kuwatangazia watu wote walioomba nafasi 320 za ajira ndani ya TAKUKURU kwamba mchakato wa ajira umefikia hatua ya kwenda kwenye Mafunzo ya Awali ya Uchunguzi.
Vigezo vilivyotumika katika kuwapata watu wanaotakiwa kwenda kwenye mafunzo ni pamoja na vifuatavyo;-
Kiwango cha ufaulu wa mshiriki kwenye usaili;
- Haiba ya mshiriki; na
- Upekuzi kuhusu mwenendo wa kila mshiriki.
1:Mambo Muhimu ya Kuzingatia:
- Kila mshiriki anapaswa kuhudhuria Mafunzo ya Awali ya Uchunguzi yatakayofanyika kwenye Shule ya Polisi Tanzania Moshi.
2:Kwa upande wa nafasi ya AFISA UCHUNGUZI kila mshiriki anapaswa kuripoti kwenye Ofisi za TAKUKURU Kilimanjaro tarehe 10 Mei, 2023 siku ya Jumatano.
3:Kwa upande wa nafasi ya MCHUNGUZI MSAIDIZI kila mshiriki anapaswa kuripoti kwenye Shule ya Polisi Tanzania Moshi tarehe 10 Julai, 2023 siku ya Jumatatu.
4.Maelekezo kuhusu ushiriki wa mafunzo haya yameainishwa kwenye barua ya wito.
5.Barua ya wito wa kwenda kwenye mafunzo imetumwa kwenye anwani na email ya kila mhusika.
Mkurugenzi Mkuu anawapongeza wote waliofanikiwa kuchaguliwa kwenda kwenye mafunzo hayo.
Imetolewa na;
Mkurugenzi Mkuu,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa,
Mtaa wa Jamhuri,
S.L.P 1291,
41101 DODOMA.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- MFUMO wa maombi ya Kitambulisho cha Taifa (NIDA) Online
- JINSI ya kupata mikopo ya vijana na wanawake
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.
Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.
Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA
Tags: Kazi za TAKUKURU PDF, Mafunzo ya awali takukuru 2023, Mafunzo ya takukuru, PCCB meaning, PCCB news, PCCB Portal, Walioitwa Kwenye Mafunzo Uchunguzi Takukuru., WALIOITWA Kwenye Mafunzo ya awali ya Uchunguzi PCCB 2023, Walioitwa Kwenye Mafunzo ya awali ya Uchunguzi Takukuru 2023