Wanaowania Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
Wanaowania Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023

Wanaowania Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023
KAMATI ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imefanya Uteuzi wa Washiriki Katika Makundi Mbalimbali ya Tuzo za Msimu wa 2022/2023, ambazo zitatolewa June 12,2023.
Tuzo hizo zimegawanyika katika Makundi matano ambayo ni;
1.Tuzo za Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC)
2.Tuzo za Ligi Kuu ya Wanawake (SWPL)
3.Tuzo za Ligi Kuu ya NBC
4.Tuzo za Utawala, na;
5.Tuzo za Ligi nyingine.
Orodha kamili ya tuzo hizo na wateule wake ni kama ifuatavyo:
1.TUZO ZA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM SPORTS (ASFC)
A.Wanaowania Tuzo ya Kipa Bora
- Bennedict Haule – Singida Big Stars
- Djigui Diarra – Young Africans
- Abdulai Iddrisu – Azam FC
B.Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora
- (Wateule watatangazwa Jumapili May 21, 2023 baada ya mechi ya Nusu Fainali ya pili).
C.Wanaowania Tuzo Mfungaji Bora
- (Mshindi ni yule atakayeongoza kwa kufunga mabao mengi, wapo wachezaji wenye mabao manne wameondolewa katika orodha hii kwa sababu timu zao zimeshatolewa na idadi ya mabao waliyofunga tayari imepitwa.
Hadi sasa Wachezaji ambao wana nafasi katika tuzo hizo ni;
- Andrew Simchimba – 7 (Ihefu SC, timu yake imeshatoka, lakini mabao yake hayajafikiwa)
- Clement Mzize – 6 (Yanga,
Timu yake inaendelea) - Abdul Suleiman – 3 (Azam, Timu yake inaendelea).
2. TUZO ZA LIGI YA WANAWAKE (SWPL)
A.Wanaowania Tuzo ya Kipa Bora
- Najiath Abbas – JKT Queens
- Winfrida Jedah – Fountain Gate Princess
- Gelwa Yona – Simba Queens
B.wanaowania Tuzo ya Chipukizi Bora
- Winfrida Charles – Alliance Girls
Winfrida Gerald – Fountain Gate - Jackline Shija JKT Queens
C.Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora
- Donisya Minja – JKT Queens
- Jentrix Shikangwa – Simba Queens
- Amina Bilali – Yanga Princess
D.Wanaowania Tuzo ya Kocha Bora
- Ally Ally JKT Queens
Juma Hussein Fountain Gate - Charles Lukula – Simba Queens
E. Kikosi Bora cha Msimu wa 2022/2023
- (Kitatangazwa siku ya sherehe za Tuzo).
F.Wanaowania Tuzo ya Mfungaji Bora
- Jentrix Shikangwa – 17 (Simba Queens)
G. Timu zinazowania Tuzo ya Timu yenye Nidhamu Msimu wa 2022/2023
- Amani Queens
- JKT Queens
- Alliance Girls
H. Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Bora
- Jonesia Rukyaa – Kagera
- Tatu Malogo – Tanga
- Ester Adalbert – Singida
I. Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Msaidizi Bora
- Janeth Balama – Iringa
Glory Tesha – Dar - Zawadi Yusuph – Dar
- ZAWADI wanazopata Washindi Kombe la Shirikisho (CAF Confederations Cup)
3:TUZO ZA LIGI KUU YA NBC (NBCPL)
A: Wachezaji waoawania Tuzo ya Mchezaji Bora
- Mzamiru Yassin – Simba
- Fiston Mayele – Yanga
- Bruno Gomes Singida BS
- Djigui Diarra Yanga
- Saido Ntibazonkiza – Geita Gold/Simba
B:Wanaowania Tuzo ya Kipa Bora
- Aishi Manula – Simba
- Djigui Diarra – Yanga
- Benedict Haule – Singida
C. Wanaowania Tuzo ya Beki Bora
- Dickson Job – Yanga
- Henock Inonga – Simba
- Bakari Mwamnyeto – Yanga
- Shomari Kapombe – Simba
- Mohammed Hussein – Simba
D. Wanaowania Tuzo ya Kiungo Bora
- Bruno Gomes Singida BS
- Mzamiru Yassin – Simba
- Stephane Aziz Ki – Yanga
- Clatous Chama – Simba
- Saido Ntibazonkiza – Geita Gold/Simba
E.Makocha Wanaowania Kocha Bora
- Nasreddine Nabi – Yanga
- Hans Pluijm Singida
- Roberto Oliveira – Simba
F. Wanaowania Tuzo Meneja Bora wa Uwanja
- Omari Malule Highland Estates (Mbeya)
- Hassan Simba – Liti (Singida)
- Amir Juma Azam Complex (Dar)
G. Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Chipukizi Bora
- Clement Mzize – Yanga
- Edmund John – Geita Gold
- Lameck Lawi – Coastal Union
H. Wachezaji waoawania kuunda Kikosi Bora Cha Msimu 2022/2023
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
- (Kikosi Bora kitatangazwa siku ya sherehe za Tuzo)
I.Timu inayowania Tuzo ya Timu yenye Nidhamu
- KMC
- Ruvu Shooting
- Tanzania Prisons
J. Waamuzi Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Bora
- Jonesia Rukyaa – Kagera
- Tatu Malogo – Tanga
- Ramadhan Kayoko – Dar
K. Waamuzi Wanaowania Tuzo ya Mwamuzi Msaidizi Bora
- Mohamed Mkono – Tanga
- Frank Komba – Dar
- Janeth Balama – Iringa
L. Waamuzi Wanaowania kuunda Seti Bora ya Waamuzi
SIMBA VS YANGA
- Jonesia Rukyaa
- Mohamed Mkono
- Janeth Balama
- Tatu Malogo
SIMBA VS AZAM
- Abdi Wajihi
Alnord Bugado - Martin Mwalyaje
Isihaka Mwalile
GEITA GOLD VS DODOMA JIJI
- Jonesia Rukyaa
- Zawadi Yusuph
- Athuman Rajabu
- Ally Simba
M. Makamishina Wanaowania Tuzo ya Kamishina Bora.
- Isaack Munisi
- Hosea Lugano
- Said Mankilingo
N. Tuzo ya Mchezo wa Kiungwana (Fair Play)
- (Itatangazwa siku ya sherehe)
O. Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Bao Bora
- (Tayari mabao teule yamepatikana lakini kwa sababu Ligi bado inaendelea, pengine yanaweza kufungwa mabao mazuri zaidi nayo yakaingia katika kinyang’anyiro.)
P. Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mfungaji Bora
- (Ni yule atakayeongoza kwa kufunga mabao mengi, hadi sasa msimamo wa juu ufungaji ni kama ifuatavyo;
- Fiston Mayele Yanga (16)
- Moses Phiri – Simba (10)
- Saido Ntibazonkiza – Simba (10)
4:TUZO ZA UTAWALA
- Tuzo ya Heshima Soka la Wanawake
(Mshindi atatangazwa siku ya sherehe za tuzo) - Tuzo ya Mchezaji Gwiji
(Mshindi atatangazwa siku ya sherehe za tuzo) - Tuzo ya Heshima
(Mshindi atatangazwa siku ya sherehe za tuzo) - Tuzo ya Rais
(Mshindi atatangazwa siku ya sherehe za tuzo)
5:TUZO ZA LIGI NYINGINE
A. Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora Championship 2022/2023
- Edward Songo – JKT Tanzania
- John Elias Budeba – Mashujaa
Fabrice Ngoy wa Ngoy – Kitayosce
B. Wachezaji Wanaowania Tuzo ya Mchezaji Bora First League
- Ramadhani Athumani – Rhino Rangers
- Abdulrahman Mapande – Cosmopolitan
- Tungu Kashinje – Stand United
C. Wachezaji Waoawania Tuzo ya Mchezaji Bora Ligi ya U20 – 2022 (Tuzo ya Ismail Khalifan)
- Ladaki Chasambi – Mtibwa Sugar
- William Mwani Mbeya Kwanza
- Clement Mzize – Yanga
Wanaowania Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023,Wanaowania Tuzo za TFF 2022/202e Tanzania Football,Orodha ya Wanaowania tuzo za TFF 2023,Wachezaji Wanaowania Tuzo za TFF 2023,Makocha Wanaowania Tuzo za TFF 2023,Mabeki Wanaowania Tuzo za TFF 2023,Viungo Wanaowania Tuzo za TFF 2023,Makipa Wanaowania Tuzo za TFF 2023, Wafungaji Wanaowania Tuzo za TFF 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Mabeki Wanaowania Tuzo za TFF 2023, Makipa Wanaowania Tuzo za TFF 2023, Makocha Wanaowania Tuzo za TFF 2023, Orodha ya Wanaowania tuzo za TFF 2023, Viungo Wanaowania Tuzo za TFF 2023, Wachezaji Wanaowania Tuzo za TFF 2023, Wafungaji Wanaowania Tuzo za TFF 2023., Wanaowania Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023, Wanaowania Tuzo za TFF 2022/202e Tanzania Football