Nijuze Habari WhatsApp

WAPINZANI wa Yanga raundi ya kwanza CAF Champions League hawa hapa

Filed in Michezo by on 18/09/2022 0 Comments
Nijuze TV

NAFASI ZA AJIRA MPYA WIKI HII BONYEZA HAPA

AUDIO MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

WAPINZANI wa Yanga raundi ya kwanza CAF Champions League hawa hapa

Yanga vs Al Hilal CAF Champions League, Yanga vs Al Hilal, Young Africans SC vs Al Hilal, Yanga vs Al Hilal, Yanga kucheza na Al Hilal, Yanga vs Al Hilal, October 2022, Yanga vs Al Hilal CAF, CAF Champions League, Yanga vs Al Hilal raundi ya awali CAF Champions League, Al Hilal vs Young Africans, Al Hilal vs Yanga CAF Champions League, Yanga kuanzia nyumbani  CAF Champions League.

WAPINZANI wa Yanga raundi ya kwanza CAF Champions League hawa hapa

YANGA SC

MABINGWA wa Tanzania Bara, Klabu ya Yanga SC ni rasmi sasa itakutana na Al Hilal ya Sudan kwenye mchezo wa raundi ya kwanza Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika (CAF Champions League 2022/2023).

WAPINZANI wa Yanga raundi ya kwanza CAF Champions League hawa hapa

AL HILAL SC

Hiyo ni baada ya Al Hilal kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya St George ya Ethiopia huko Sudan hivyo kutinga raundi ya kwanza kwa faida ya bao la Ugenini.

Mchezo wa mkondo wa kwanza kati ya Yanga SC na Al Hilal unatarajiwa kupigwa Jijini Dar es salaam Kati ya October 7-9 na ule wa marudiano kupigwa chini Sudan kati ya October 14-16.

Mshindi wa Jumla katika raundi hiyo ya Kwanza anatinga hatua ya Makundi ya Michuano hiyo Mikubwa Barani Afrika ngazi ya Vilabu.

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

l

Tags: , , , , , , , , , , ,

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *