Nijuze Habari App

WASHINDI wa tuzo za Ligi Kuu (NBC & TFF AWARDS 2022)

Filed in Michezo by on 07/07/2022 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

WASHINDI wa tuzo za Ligi Kuu (NBC & TFF AWARDS 2022)

Hundi Yanga SC

Mfano wa hundi ikikabidhiwa kwa Mabingwa wa NBC Premier League msimu huu wa 2021/2022, Young Africans SC, na kupokelewa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu Senzo Hammilton Mazingiza “Mbatha”

Zawadi kwa timu zilizofanya vizuri NBC Premier League na Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Light Women’s Premier League 2021|2022)

LIGI KUU YA WANAWAKE
1.Simba Queens [Bingwa]
2.Fountain Gate Princess (Mshindi wa Pili)
3.Yanga Princess (Mshindi wa Tatu)

NBC PREMIER LEAGUE
1.Yanga SC (Bingwa)
2.Simba SC (Mshindi wa Pili)
3.Azam FC (Mshindi wa Tatu)
4.Geita Gold FC (Mshindi wa Nne)

Nasreddine Nabi Yanga SCTuzo ya Kocha Bora NBC Premier League msimu 2021/2022 imekwenda kwa Kocha wa Young Africans SC SC, Nasreddine Nabi ambaye amewakilishwa na msaidizi wake Cedric Kaze.

George Mpole Geita Gold FCTuzo ya Mfungaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022 imekwenda kwa Mshambuliaji wa Geita Gold FC, George Mpole aliyemaliza msimu na mabao 17.

Hennock Inonga Simba SCTuzo ya beki Bora wa Ligi Kuu ya NBC 2021/2022 imekwenda kwa Hennock Inonga wa Simba SC, na Aishi Manula ameipokea kwa niaba yake.

Yannick Bangala Yanga SCTuzo ya Mchezaji Bora wa NBC Premier League msimu huu wa 2021/2022 imekwenda kwa Yannick Bangala wa Yanga SC, na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Senzo Hammilton Mazingiza “Mbatha” akaipokea kwa niaba yake.

Yannick Bangala Yanga SCTuzo ya Kiungo Bora wa NBC Premier League msimu huu wa 2021/2022 imekwenda kwa Yannick Bangala naye Mkurugenzi wa Mashindano wa Yanga SC, Thabithy Kandoro ameipokea kwa niaba yake.

Fiston Mayele Yanga SCTuzo ya Goli Bora kwenye NBC Premier League msimu huu imekwenda kwa Fiston Mayele wa Yanga SC vs Biashara United FC, na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa timu hiyo Senzo Hammilton Mazingiza “Mbatha” akaipokea kwa niaba yake.

Djigui Diarra Yanga SC

Tuzo ya Golikipa Bora wa NBC Premier League imekwenda kwa Djigui Diarra wa Yanga SC, naye Mkurugenzi wa Mashindano wa Yanga SC, Thabithy Kandoro ameipokea kwa niaba yake.

Abdul Suleiman 'Sopu' Coastal Union FCTuzo ya Mfungaji Bora wa Azam Sports Federation Cup 2021/2022 imekwenda kwa Kiungo mshambuliaji wa Coastal Union FC Abdul Suleiman ‘Sopu’ aliyemaliza na mabao 09.

Tanzania Prisons FCTuzo ya timu yenye nidhamu msimu wa 2021/2022 imekwenda Tanzania Prisons FC ya Mbeya.

Bakari ShimeMoja ya Tuzo za Heshima za Rais wa TFF imekwenda kwa Kocha wa Serengeti Girls, Bakari Shime ambaye ameiwezesha timu hiyo kwenda Kombe la Dunia.

Ahmed ArajigaTuzo ya Mwamuzi Bora NBC Premier League 2021/2022 imekwenda kwa Ahmed Arajiga.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Sebastian Nkoma Simba Queens.Tuzo ya Kocha Bora Ligi Kuu ya Wanawake (Serengeti Light Women’s Premier League 2021/2022) imekwenda kwa Sebastian Nkoma wa Simba Queens.

Gelwa Yona Simba Queens.Tuzo ya Kipa Bora wa Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite 2021/2022 imekwenda kwa Gelwa Yona wa Simba Queens.

Mohamed Mohamed Coastal Union FCTuzo ya Kipa Bora wa Azam Sports Federation Cup 2021/2022 ni Mohamed Mohamed wa Coastal Union FC

Dickson Mhilu Kagera Sugar FCMchezaji Bora Chipukizi wa NBC Premier League 2021/2022 ni Dickson Mhilu wa Kagera Sugar FC

Clara Luvanga Yanga PrincessMchezaji Bora Chipukizi wa Serengeti Light Women’s Premier League 2021/2022 ni Clara Luvanga wa Yangasc Princess.

KIKOSI Bora cha Msimu NBC Premier League 2021/2022

1:Djigui Diarra – Yanga SC
2:Djuma Shabani – Yanga SC
3:Mohamed Hussein – Simba SC
4:Hennock Inonga – Simba SC
5:Bakari Mwamnyeto – Yanga SC
6:Yanick Bangala – Yanga SC
7:Abdul Hamis Suleiman – Coastal Union FC
8:Feisal Salum – Yanga SC
9:Fiston Mayele – Yanga SC
10:George Mpole – Geita Gold FC
11:Pape Ousmane Sakho – Simba SC

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *