WIZARA yasitisha Mikopo ya Wanawake (WDF) 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
WIZARA yasitisha Mikopo ya Wanawake (WDF) 2023

WIZARA yasitisha Mikopo ya Wanawake (WDF) 2023
WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum inaratibu Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake (WDF) ambao ulianzishwa kwa Tamko la Bunge lililopitishwa mwezi Agosti, 1993.
Kuanzishwa kwa Mfuko huo ni sehemu ya utekelezaji wa Sera ya Maendeleo ya Wanawake na Jinsia ya Mwaka 2000 ambayo moja ya vipaumbele vyake ni kuwezesha wanawake kiuchumi na kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini.
Dhumuni la Mfuko huo ni kutoa mikopo yenye masharti nafuu kwa wanawake wajasiriamali walio kwenye vikundi au mmoja mmoja kulingana na mwongozo wa Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake wa mwaka 2022.
Aidha, mikopo hiyo imekuwa ikitolewa na Wizara kwa kushirikiana na Mamlaka za Serikali za Mitaa ambapo maombi hufanyika bila malipo yoyote na waombaji waliokidhi vigezo hupatiwa mkopo huo kwa kuzingatia Mwongozo husika.
Wizara inaujulisha Umma kwamba imesitisha utoaji wa mikopo ya WDF. Hii ni kufuatia maboresho yanayoendelea kwenye utaratibu wa utoaji wa mikopo ya wanawake ikiwemo ile ya 10% ya mapato ya ndani ya kila Halmashauri ambapo wanawake hupata 4%.
Lengo la usitishwaji huu ni ili kufanya maboresho ya utaratibu utakaohusisha mikopo hiyo kutolewa na Taasisi za Benki, utaratibu mpya utatangazwa punde utakapokamilika.
Wizara inatoa Rai kwa Wanawake Wajasiriamali waliopata mikopo kupitia mfuko wa WDF, kuendelea kurejesha mikopo hiyo kulingana na mikataba waliyosaini kati yao na Wizara.
WIZARA yasitisha Mikopo ya Wanawake (WDF) 2023,Wizara ya uwezeshaji, Taasisi ya uwezeshaji,SELF Microfinance Fund,Uwezeshaji ni nini,Sera ya uwezeshaji wananchi kiuchumi.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: SELF Microfinance Fund, Sera ya uwezeshaji wananchi kiuchumi., Taasisi ya uwezeshaji, Uwezeshaji ni nini, Wizara ya uwezeshaji, WIZARA yasitisha Mikopo ya Wanawake (WDF) 2023