Nijuze Habari App

YANGA yaachana na Kipa Erick Johora

Filed in Michezo, New, Usajili by on 30/06/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

YANGA yaachana na Kipa Erick Johora

YANGA yaachana na Kipa Erick Johora

YANGA yaachana na Kipa Erick Johora

YANGA yaachana na Kipa Erick Johora, Klabu ya Yanga imeachana na kipa wake nne, Erick Johola baada ya misimu miwili tangu atue Jangwani akitokea Aigle Noir ya Burundi.

Johola anakuwa mchezaji wa sita kuachwa Yanga baada ya beki, Abdallah Shaibu ‘Ninja’, kiungo Feisal Salum aliyeuzwa kwenda Azam FC, mawinga Bernard Morrison, Tuisila Kisinda na Dickson Ambundo.

YANGA yaachana na Kipa Erick JohoraYanga ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC Msimu huu wa 2022/2024 pia imeachana na Kocha wake Mkuu, Nasredeen Nabi na Kocha wa makipa, Mbrazil Milton Nienov na kuajiri Kocha mpya, Muarngentina Miquel Angel Gamondi.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *