Nijuze Habari

YANGA yaachana na Ntibazonkiza

Filed in Michezo by on 30/05/2022 0 Comments

YANGA yaachana na NtibazonkizaUONGOZI wa Young Africans umetangaza kuachana na Kiungo Mshambuliaji kutoka Burundi Saido Ntibazonkiza mwenye umri wa miaka 35, baada ya kutuhumiwa kwa utovu wa nidhamu.

Nijuze Habari Application

YANGA yaachana na Ntibazonkiza

YANGA yaachana na NtibazonkizaUONGOZI wa Young Africans umetangaza kuachana na Kiungo Mshambuliaji kutoka Burundi Saido Ntibazonkiza mwenye umri wa miaka 35, baada ya kutuhumiwa kwa utovu wa nidhamu.

YANGA yaachana na NtibazonkizaKiungo huyo aliondolewa kwenye Kambi ya Young Africans wiki iliyopita wakati tinu hiyo ikijiandaa na mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho ‘ASFC’ dhidi Simba SC kwa madai ya kutoka kambini bila ruhusa.

Young Africans imethibitisha taarifa za kuachama na Kiungo huyo leo Jumatatu May 30,2022 kwa madai ya Kiungo huyo kumaliza mkataba wake.

YANGA yaachana na NtibazonkizaTaarifa ya Young Africans imesema kuwa “Uongozi unapenda kutoa shukrani za dhati kwa Mchezaji wetu Saidi Ntibazonkiza kwa utumishi wake ndani ya Yanga SC, tunamtakia kila la kheri na mafanikio katika maisha yake ya soka nje ya klabu ya Yanga”YANGA yaachana na Ntibazonkiza

UNAWEZA PIA KUSOMA👇👇👇

Fahamu Jinsi ya kupata namba ya NIDA (NIN)

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUINGIA KIDATO CHA TANO 2022

AJIRA za Sensa ya Watu na Makazi 2022, Tazama hapa jinsi ya kujaza fomu

UTARATIBU wa kupata cheti cha kuzaliwa Tanzania na walio nje ya nchi

KIKOSI Cha Tanzania Kufuzu AFCON 2023

MSIMAMO na Vinara wa NBC Premier League May 23,2022

MATOKEO Biashara United FC vs Yanga SC May 23,2022

VIINGILIO Nusu Fainali Yanga SC vs Simba SC (FA) May 28,2022

MAGAZETI ya Tanzania Alhamisi May 26,2022

SAFARI ya Yanga SC na Simba SC kwenye (ASFC) msimu huu wa 2021/2022

TETESI za Usajili Tanzania Bara 2022/2023

MAGAZETI ya Tanzania Ijumaa May 27,2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumamosi May 28,2022

MATOKEO Yanga SC vs Simba SC Nusu Fainali (ASFC), May 28,2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumapili May 29,2022

MAGAZETI ya Tanzania Jumatatu May 30,2022

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.