YANGA yaifuata Azam Fainali Azam Sports Federation Cup

Filed in Michezo by on 21/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA

VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

YANGA yaifuata Azam Fainali Azam Sports Federation Cup

YANGA yaifuata Azam Fainali Azam Sports Federation Cup,Yanga vs Azam FC,Yanga SC vs Azam FC, Young Africans vs Azam FC Fainali ya Azam,Azam FC vs Yanga Fainali ya ASFC,Azam vs Yanga,Azam vs Young Africans Fainali Azam Sports Federation Cup 2023,Azam na Yanga Fainali Azam Sports Federation Cup.

YANGA yaifuata Azam Fainali Azam Sports Federation Cup

MABINGWA watetezi Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans wamefanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya ushahidi wa bao 1-0 dhidi ya Singida Big Stars kwenye Uwanja wa LITI mjini Singida.

Bao la hilo la Ushindi limefungwa na Mshambuliaji Fiston Mayele dakika ya 82.

YANGA yaifuata Azam Fainali Azam Sports Federation Cup,Yanga vs Azam FC,Yanga SC vs Azam FC, Young Africans vs Azam FC Fainali ya Azam,Azam FC vs Yanga Fainali ya ASFC,Azam vs Yanga,Azam vs Young Africans Fainali Azam Sports Federation Cup 2023,Azam na Yanga Fainali Azam Sports Federation Cup.

YANGA yaifuata Azam Fainali Azam Sports Federation Cup

Yanga ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa pili mfululizo, watakutana na Azam FC katika Fainali ya Azam Sports Federation Cup iyakayofanyika kwenye Uwanja wa CCM Mkwakwani Jijini Tanga hapo baadae.

Klabu hiyo sasa inarejea Jijini Dar es Salaam kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger Jumapili ijayo ya May 28 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

YANGA yaifuata Azam Fainali Azam Sports Federation Cup,Yanga vs Azam FC,Yanga SC vs Azam FC, Young Africans vs Azam FC Fainali ya Azam,Azam FC vs Yanga Fainali ya ASFC,Azam vs Yanga,Azam vs Young Africans Fainali Azam Sports Federation Cup 2023,Azam na Yanga Fainali Azam Sports Federation Cup.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *