YANGA yaingia 5 Bora Tuzo za CAF 2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
YANGA yaingia 5 Bora Tuzo za CAF 2023
KLABU ya Yanga imetinga hatua ya tano bora kuwania tuzo ya klabu bora kwa wanaume kutoka CAF mwaka 2023.
Ikumbukwe kwamba Yanga kwenye Kombe la Shirikisho Afrika 2022/2023 waliishia nafasi ya pili na katika Ligi ya ndani walitwaa taji la Ligi Kuu Bara.
Awali zilikuwa zinawania timu 10 ambazo ni Al Ahly ya Misri, Wydad na Raja Casablanca kutoka Morocco, Mamelodi Sundowns na Marumo Gallants kutoka Afrika Kusini, Esperance de Tunisia, USM Alger na CR Belouizdad kutoka Algeria, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Tanzania ikiwakilishwa na Yanga.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Tuzo hizo zinatarajiwa kufanyika tarehe 11 December 2023 huko Morocco katika Jiji la Marrakech ambapo timu zilizotinga tano Bora ukianza na Yanga kuna USM Alger, Al Ahly, Waydad na Mamelod.
Orodha ya timu hizo 5 zilizovuka mchujo huo ni Young Africans ya Tanzania, USM Alger ya Algeria, Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini, Al Ahly ya Misir na Wydad Athletic Club ya Morocco.
YANGA yaingia 5 Bora Tuzo za CAF 2023

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: CAF award 2023, CAF Club award 2023, Tuzo za CAF 2023, Yanga CAF Award 2023., YANGA yaingia 5 Bora Tuzo za CAF 2023