Nijuze Habari

YANGA yaitaja timu mgeni Wiki ya Mwananchi 2022, Viingilio vyawekwa wazi

Filed in Michezo by on 01/08/2022 0 Comments

YANGA yaitaja timu mgeni Wiki ya Mwananchi 2022, Viingilio vyawekwa waziKLABU ya Yanga SC, imezindua rasmi wiki ya Mwananchi ambayo kilele chake itakuwa Jumamosi hii ya August 06 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo kutakuwa na mchezo maalum baada ya utambulisho wa Wachezaji watakaoitumikia timu hiyo kwa msimu huu wa 2022/2023.

Nijuze Habari Application

YANGA yaitaja timu mgeni Wiki ya Mwananchi 2022, Viingilio vyawekwa wazi

YANGA yaitaja timu mgeni Wiki ya Mwananchi 2022, Viingilio vyawekwa waziKLABU ya Yanga SC, imezindua rasmi wiki ya Mwananchi ambayo kilele chake itakuwa Jumamosi hii ya August 06 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo kutakuwa na mchezo maalum baada ya utambulisho wa Wachezaji watakaoitumikia timu hiyo kwa msimu huu wa 2022/2023.

YANGA yaitaja timu mgeni Wiki ya Mwananchi 2022, Viingilio vyawekwa waziAkizungumza katika uzinduzi uliofanyika Serena Hotel Leo Jumatatu August 01,2022, Mwenyekiti wa Kamati inayosimamia tukio hilo, Arafat Haji amesema kuwa wamejipanga kufanya tukio kubwa litakalotikisha nchi.

Arafat ametangaza kuwa Yanga itacheza na Klabu ya Vipers FC, ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya Uganda katika kilele cha tukio hilo August 06 pale Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

YANGA yaitaja timu mgeni Wiki ya Mwananchi 2022, Viingilio vyawekwa wazi

Klabu hiyo tayari imetangaza Viingilio ambapo kwa Mzunguko itakuwa Tsh 10,000, VIP C itakuwa Tsh 20,000 na VIP B itakuwa tsh 30,000.

Pia kuna tiketi za VIP A zinazopatikana kwa gharama ya Tsh 150,000 na VVIP ni Tsh 300,000.

Aidha Tiketi hizo zinapatikana katika Maduka ya TTCL kote nchini, vituo vingine vitatangazwa kama inavyoonekana hapa chini.YANGA yaitaja timu mgeni Wiki ya Mwananchi 2022, Viingilio vyawekwa wazi

-“Tunapokwenda kuzindua siku hii ambayo itakuwa imejaa hamasa, tutumie hamasa ya ushindi wa yale makombe yetu na ndiyo maana kauli mbiu yetu mwaka huu inaakisi kile ambacho tumekitekeleza katika msimu uliopita ni kauli mbiu ya Byuti Byuti ndiyo kauli mbiu yetu, Makamu Mwenyekiti wa Yanga Sc, Arafat Haji.

YANGA yaitaja timu mgeni Wiki ya Mwananchi 2022, Viingilio vyawekwa wazi

“Kila kitu ni Byuti kuelekea wiki ya Mwananchi kutakuwa na burudani ya kutosha kutoka kwa wasanii mbalimbali, Na pia mtaona vitu byuti uwanjani kutoka kwa wachezaji wetu, Yanga hatuokoti tunasajili ma MVP Arafati Haji

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.