YANGA yaongoza Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA
JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA
AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA
VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA
YANGA yaongoza Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023

YANGA yaongoza Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023
YANGA yaongoza Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023, Klabu ya Young Africans imefunika kwenye Tuzo za TFF msimu wa 2022/23 zilizotolewa June 12 kwenye Ukumbi wa Kituo Cha Soka cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Jijini Tanga.
Klabu hiyo ambayo ni Mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa wa ASFC, Washindi wa Ngao ya Jamii, na Washindi wa Pili wa CAF Confederation Cup 2023 wamepata jumla ya Tuzo 12 zikiwemo za mmoja mmoja na zile za Kikosi Bora Cha Msimu huu wa 2022/2023.
Katika Tuzo hizo, Fiston Mayele pekee amechukuwa Tuzo tatu, ambazo ni ya Mfungaji Bora, Bao bora la msimu, na Mchezaji Bora wa msimu (MVP) pia yupo kwenye kikosi Bora cha msimu huu.
Golikipa Djugui Diarra yeye ameondoka na Tuzo mbili, ambazo ni za Kipa Bora wa ASFC na Kipa Bora 2a Ligi Kuu ya NBC, huku Dickson Job akipata Tuzo ya Beki Bora wakati Bakari Mwamnyeto akichukua Tuzo ya Mchezaji Bora wa ASFC na wote hao wameingia kwenye kikosi Bora cha msimu.
Aidha Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi amechukua Tuzo ya Kocha Bora, Clement Mzize yeye amechukua Tuzo ya Mchezaji Bora kijana chini ya miaka 20 anayecheza Ligi Kuu ya NBC Msimu wa 2022/2023.
Kwa upande wa Klabu ya Simba, wao wamekuwa timu ya pili kwa Wachezaji wake kuchukuwa tuzo nyingi ikiongozwa na Saido Ntibazonkiza aliyebeba Tuzo tatu, ambazo ni Tuzo ya Mfungaji Bora, Tuzo ya Fair Play na Tuzo ya Kiungo Bora pia yupo kwenye Kikosi Bora cha Msimu huu wa 2022/2023.
MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.
Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.
Wengine ni Henock Inonga, Mohammed Hussein, Shomari Kapombe, Mzamiru Yassin, Clatous Chama ambao wote wameingia kwenye kikosi Bora cha Msimu huu wa 2022/23.
Katika hatua nyingine, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia ametoa tuzo tatu kwa watu waliochangia Mafanikio ya Soka nchini huku tuzo ya kwanza ya heshima ikienda kwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Tuzo ya Mama Samia imetolewa kwa kutambua mchango wake mkubwa anaoufanya kwenye michezo ambapo Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma ndiye aliyepokea kwa niaba.
Tuzo ya pili ya Heshima ilienda kwa marehemu Angela Bilali aliyetoa mchango mkubwa kwenye soka la wanawake wakati tuzo nyingine ya mchezaji gwiji wa zamani iliyokwenda Leopard Tasso Mkebezi ambaye kwasasa ni Kocha wa Chama cha Makocha Tanzania.
YANGA yaongoza Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023,Washindi wa Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023,Tuzo Za TFF 2022/2023, Tuzo Za Shirikisho La Mpira Wa Miguu Tanzania TFF,Washindi wa Tuzo za TFF 2022/2023 Award Winners 2023 NBC Premier League,TUZO ZA TFF 2023, Washindi hawa hapa,Mchezaji Bora,Beki Bora,Kocha Bora, Kiungo Bora,Kipa Bora, Mchezaji Bora, Mshambuliaji Bora, Orodha ya washindi wa tuzo za TFF 2023 Tazama hapa,Hii hapa List kamili ya Washindi wa tuzo mbali mbali za Tff 2022/2023,Tuzo za TFF msimu wa 2022/23 Washindi wa tuzo hizo, WASHINDI WA TUZO ZA NBC TFF AWARD 2023,Tuzo za TFF 2023,Kiungo Bora NBC 2023,Kikosi bora nbc,Tuzo za tff 2023,Tuzo za TFF 2023,TFF AWARDS 2023.
PIA UNAWEZA KUSOMA👇
- Ada/makato ya Lipa kwa M-pesa, Lipa kwa Simu
- ADA za LIPA kwa Airtel Mitandao Yote
- TETESI za Usajili NBC Premier League 2023/2024
- YANGA yashika Nafasi ya 9 Simba ya 10 Afrika 2022/2023
- FAHAMU kuhusu Azam Pesa pamoja na Makato yake
- Ada mpya za M-Pesa 2023/2024 | Makato mapya ya M-Pesa
- Ada zaAirtel Money 2022/2023 | Makato mapya ya Airtel Money
- ADA Mpya za Tigo Pesa (Tigo Pesa Tariffs 2022/2023)
- Ada/Makato ya HaloPesa Tanzania, Halopesa Tariffs 2023
- DOWNLOAD | NYIMBO ZA TENZI ZA ROHONI SWAHILI MIX
- Ada za M-Pesa Songesha 2022/2023
- FAHAMU Jinsi ya Kufungua Akaunti ya M-Koba Vodacom
- Namna ya Kujisajili na Premier Bet Ushinde Mamilioni
- RATIBA kamili NBC Premier League msimu wa 2022/2023
- DOWNLOAD NIDA number | Kitambulisho cha Taifa
- MSIMAMO Ligi Kuu Tanzania Bara 2022/2023
- WAFUNGAJI Wanaoongoza kwa Ufungaji Ligi Kuu
Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Tags: Beki Bora, Hii hapa List kamili ya Washindi wa tuzo mbali mbali za Tff 2022/2023, Kikosi bora nbc, Kipa Bora, Kiungo Bora, Kiungo Bora NBC 2023, Kocha Bora, Mchezaji Bora, Mshambuliaji Bora, Orodha ya washindi wa tuzo za TFF 2023 Tazama hapa, TFF AWARDS 2023., Tuzo Za Shirikisho La Mpira Wa Miguu Tanzania TFF, Tuzo Za TFF 2022/2023, TUZO ZA TFF 2023, Tuzo za TFF msimu wa 2022/23 Washindi wa tuzo hizo, Washindi hawa hapa, Washindi wa Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023, WASHINDI WA TUZO ZA NBC TFF AWARD 2023, Washindi wa Tuzo za TFF 2022/2023 Award Winners 2023 NBC Premier League, YANGA yaongoza Tuzo Mbalimbali za TFF 2022/2023