Nijuze Habari App

YANGA Yapangwa na wadjibout hatua ya awali CAF Champions League 2023/24

Filed in Michezo, New by on 25/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

YANGA Yapangwa na wadjibout hatua ya awali CAF Champions League 2023/24

YANGA Yapangwa na wadjibout hatua ya awali CAF Champions League 2023/24,Yanga vs Asas FC CAF Champions League 2023, Young Africans vs Asas FC CAF Champions League.

YANGA Yapangwa na wadjibout hatua ya awali CAF Champions League 2023/24

YANGA Yapangwa na wadjibout hatua ya awali CAF Champions League 2023/24, Yanga vs Asas FC CAF Champions League 2023, Young Africans vs Asas FC CAF Champions League.

Droo ya hatua ya awali na raundi ya kwanza ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu mpya wa 2023/2024 imefanyika Misri leo Julai 25,2023.

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Young Africans wataanzia hatua ya awali kwa kuwakabili Asas FC ya Djibout, huku mchezo wa kwanza ukitarajiwa kupigwa ugenini chini Djibouti.

YANGA Yapangwa na wadjibout hatua ya awali CAF Champions League 2023/24,Yanga vs Asas FC CAF Champions League 2023, Young Africans vs Asas FC CAF Champions League.Kama Yanga itafanikiwa kuvuka hatua ya awali, itakutana na Mshindi wa mchezo kati ya AS Otoho ya Congo dhidi ya El Merrikh ya Sudan raundi ya kwanza ya Michuano hiyo.

Aidha Yanga itaanzia ugenini katika raundi ya kwanza na endapo itafanikiwa kupata Ushindi itatinga hatua ya Makundi ya Michuano hiyo.

YANGA Yapangwa na wadjibout hatua ya awali CAF Champions League 2023/24

Simba SC wao wataanzia raundi ya Pili ya mchujo moja kwa moja kuwania kuingia hatua ya Makundi ambapo itacheza na mshindi kati ya African Stars ya Namibia na Power Dynamos ya Zambia.

Kwa upande wao Mabingwa wa Zanzibar, KMKM wao watacheza dhidi ya St George ya Ethiopia, na ikiuvuka hapo itakutana na Mabingwa watetezi wa Kombe hilo, Al Ahly ya Misri.

Katika Kombe la Shirikisho, Singida Big Stars wao wataanza na JKU ya Zanzibar, huku Azam FC wakianza na Bahir Dar Kenema ya Ethiopia.

Azam FC wakifuzu hatua hiyo watakutana na Club Africain ya Tunisia, wakati Singida Fountain Gate wakivuka watakutana na Future ya Misri kwenye raundi ya pili na atakayevuka hapo atatinga hatua ya Makundi ya Michuano hiyo.

Mechi hizo zinatajiwa kuchezwa kati ya Agosti 18, 19, na 20 kwa mechi za kwanza na mechi za marudiano zinatarajiwa kuchezwa kati ya Agosti 25, 26 na 27.

Ratiba kamili ya CAF Champions League 1st preliminary round 2023/2024.

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 
 • Haifa vs Generation Foot
 • Bo Rangers vs LISCR
 • KMKM vs St Geroge
 • Bendje vs Bumamuru
 • UD Songo vs Green Mamba
 • Al Ahli vs Enyimba
 • Constantine vs Etoile du Sahal
 • AS Real vs Coton Sport
 • Agosto vs AS Vita Club
 • AS Otoho vs Al Merrikh
 • Jwaneng Galaxy vs Vipers SC
 • AS Garde vs AS Douanes
 • Madeama vs Remo Stars
 • APR vs Gaadika
 • African Stars vs Power Dynamos
 • Dragon vs Nyasa Big Bullets
 • Coton vs ASEC Mimosas
 • ASKO de Kara vs ASFAR
 • Nouadhibou vs Ahli Tripoli
 • Salaam vs Al Hilal
 • ASAS vs Yanga SC
 • Djabal vs Orlando Pirates

Timu zilizoingia hatua ya pili moja kwa moja CAF Champions League 2023/2024

 • Wydad Casablanca – Morocco
 • Esperance de Tunis – Tunisia
 • CR Belouizdad – Algeria
 • Horoya AC – Guinea
 • Al Ahly – Egypt
 • Pyramids – Egypt
 • Mamelodi Sundowns – South Africa
 • Simba SC – Tanzania
 • Petro de Luanda – Angola
 • TP Mazembe – DR Congo

Yanga vs Asas FC CAF Champions League 2023, Young Africans vs Asas FC CAF Champions League, Yanga vs Asas FC, Young Africans vs Asas FC, Asas FC vs Yanga SC, Asas FC vs Yanga, Asas FC Djibouti vs Young Africans.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *