Nijuze Habari App

Yanga yasaini mkataba na Benki ya CRDB Tanzania

Filed in Michezo, New by on 01/07/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Yanga yasaini mkataba na Benki ya CRDB Tanzania

Yanga yasaini mkataba na Benki ya CRDB Tanzania

Yanga yasaini mkataba na Benki ya CRDB Tanzania

Yanga yasaini mkataba na Benki ya CRDB Tanzania, Klabu ya Yanga imeingia Makubaliano ya Ushirikiano na Benki ya CRDB Tanzania katika kuongeza ufanisi wa Usajili na Masuluhisho ya kifedha kwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga.

Kuanzia Julai 05, Mashabiki na Wanachama wa Yanga wataweza kulipia na kujipatia kadi zao katika Matawi ya CRDB nchi nzima.

Yanga yasaini mkataba na Benki ya CRDB TanzaniaHuo ni mkataba wa pili umesainiwa leo Jumamosi July 01,2023, mkataba wa kwanza ukiwa baina ya Yanga na NMB ambao utaanza rasmi July 10,2023.

Wanachama na Mashabiki wa Yanga wameaswa kutumia fursa hiyo kujisajili, kupata kadi zao za uanachama pamoja na kulipia ada zao katika Matawi ya CRDB na NMB nchini kote.Yanga yasaini mkataba na Benki ya CRDB Tanzania

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *