YANGA yasaini mkataba na Kampuni ya Watercom

Filed in Michezo by on 30/09/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

YANGA yasaini mkataba na Kampuni ya Watercom

YANGA yasaini mkataba na Kampuni ya Watercom

YANGA vs WatercomTimu ya Yanga Princess ya jijini Dar Es Salaam, leo Ijumaa September 30, 2022 imesaini mkataba na Kampuni ya Watercom kama mdhamini kupitia kinywaji chao cha Jembe Energy kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Hersi Ally Said ambaye ni rais wa Klabu ya Young Africans SC baada ya kusaini Mkataba huo, amesema kuwa wanaenda kutangaza huduma na bidhaa za Kampuni hiyo kwenye mitandao ya Kijamii ili kuwapa thamani wadhamini hao.

Hersi pia amesema kuwa wanaendelea kukaribisha wadau wengine ili kutengeneza klabu imara kiuchumi kwa malengo mapana ya soka la Tanzania

YANGA yasaini mkataba na Kampuni ya WatercomAidha hiyo sio kwa mara ya kwanza Yanga kufanya kazi na Watercom, wamekuwa washirika wa muda mrefu nje ya mkataba wa udhamini na kutokana na mahusiano mazuri baina yao, Klabu imegundua kuwa kuna umuhimu wa kufanya makubaliano rasmi yenye faida ya pande zote.

Mkataba huo baina ya Yanga na Watercom una thamani ya Tsh milioni 120 sawa na milion 10 kwa mwezi, vile vile Watercom watatoa katoni 1,500 kwa klabu hiyo kila mwezi jumla zitakuwa katoni 18,000.

YANGA yasaini mkataba na Kampuni ya Watercom

Andre Mtine CEO Yanga

“Leo ni siku muhimu sana kwetu kwenye maendeleo ya mpira. Ninajivunia kuona nasaini mkataba mpya kwa niaba ya Klabu. Hii ni hatua kubwa sana na inaonesha kwa jinsi gani klabu hii imejipanga kuboresha masuala ya kiuchumi” Andre Mtine Mtendaji mkuu wa Klabu ya Yanga

Miongoni mwa vipaumbele vya timu yetu hivi sasa ni kuhakikisha inapata pato kubwa ili kuendana na kasi ya matumizi na kutengeneza timu bora

YANGA yasaini mkataba na Kampuni ya Watercom

Eng. Hersi Said rais wa Yanga

Akizungumza katika mkutano wa Waandishi wa Habari Rais wa Klabu ya Yanga, Eng. Hersi Said alisema,

“Huu ni muendelezo wa ajenda yangu kubwa ya kuimarisha timu kiuchumi, na kwa kupitia mkataba huu tunaendelea kuimarisha hali yetu ya kiuchumi ili kuwa imara zaidi. Kwa miaka mingi vilabu vyetu vimekuwa vikikumbana na adha mbalimbali za kiuchumi na hii inatokana na kukosekana mikakati imara ya kuwashawishi wadhamini. Unapokuwa na uongozi imara inasaidia hata washirika wengine kuja kuwaunga mkono. Unapokuwa na timu imara inavutia wadau wengi kuja.

Shukrani za dhati ziwaendee viongozi wenzangu kwa ushirikiano tulionao ambao unaendelea kuipa thamani Timu yetu. Niwashukuru sana Watercom kwa kutambua umuhimu wetu kwenye biashara zao”

YANGA yasaini mkataba na Kampuni ya Watercom

Mohamed Salim Mkuu wa Kitengo cha Masoko Watercom

Kwa upande wa Mohamed Salim Mkuu wa Kitengo cha masoko cha Watercom nae amesema kuwa!

“Timu ya Yanga Princess ni timu kubwa ambayo ina malengo ya kuweka historia kubwa kama ambavyo ipo Yanga SC ambayo inahistoria ya kipekee. Ni heshima kubwa kwetu kupata fursa hii ya kufanya nao kazi tena. Mkataba wetu huu wa mwaka mmoja hatuna wasiwasi na tuna imani kubwa matunda yataonekana kwa pande zote. Tutashirikiana na Yanga Princess kama wadhamini na washirika katika kutoa huduma mbalimbali kupitia vinywaji vyetu”

YANGA yasaini mkataba na Kampuni ya Watercom

Ali Kamwe Afisa Habari Yanga SC

Katika hatua nyingine, Afisa habari mpya wa Yanga Ally Kamwe amewaondolea wasiwasi mashabiki wa Klabu hiyo huku akisisitiza kuwa Yanga ina ubavu wa kushindana na vigogo wa soka barani Afrika.

Kamwe amesema kuwa Kumekuwa na habari mbalimbali kuhusiana na ukubwa na ugumu wa mchezo wetu ujao, “Watu wanasema Al hilal wana wachezaji wazuri kisa Kuna mchezaji katoka Asec Mimosas je hao Al hilal wanajua pia kuwa Eng Hersi alitoa mtu pale Asec Mimosas…?”

“Wanasema Kuna mchezaji katoka As Vita club na wao je kuwa wanajua kuwa Yanga walimsajili mfungaji bora wao na yupo Yanga kwa sasa.?”

“Wanasema wana mchezaji Kutoka Senegal je jiulize wanajua na sisi tuna mchezaji Kutoka Burundi ambaye kapita EPL tena akitwaa tuzo ya mchezaji bora chipukizi wa Championship? Sisi Yanga tuna uwezo wa wachezaji wakubwa kuliko wao na Kama pesa na sisi tupo vizuri zaido yao tuna Ghalib said Mohamed.

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya | Jisajili hapa Kushinda Zawadi

PARMATCH Kumwaga Mamilioni kwa Wateja Wapya

BETI NA PARMATCH USHINDE MAMILIONI

Kampuni ya Michezo ya KUBETI na KASINO za Mtandaoni Tanzania PARMATCH imezindua Ofa mpya ya Bonasi kwa Wateja wapya.

Kila mteja mpya atakayejisajili na PARMATCH atajinyakulia BONASI sawa na kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza kuanzia Shilingi 1,000 hadi milioni moja kwa kila mteja.

Akizungumza katika uzinduzi wa BONASI hiyo Afisa Masoko wa Parmatch amesema kuwa Bonasi hiyo itawahusu wateja wapya watakaojisajili na kuweka salio kwenye akaunti zao.

Ili uweze kujisajili na PARMATCH unatakiwa kutembelea tovuti yao kwa kugusa HAPA Kisha Jisajili.

Kujiunga na PARMATCH na kupata Bonasi ya hadi 1,000,000 (Milioni Moja) Ukideposit salio kwenye akaunti yako Bofya HAPA.

Unaweza kupata Taarifa hii kwa undani zaidi kwa kubofya Parmatch.co.tz

IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.

IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.IFAHAMU Faida ya kuwa na App ya Nijuze Habari kwenye simu yako.

FAIDA YA KUWA NA NIJUZE HABARI APPUkiwa na App hii utapata Kutazama Mubashara Mechi za Tanzania na nje ya Tanzania kwa kuchagua Category ya MECHI LIVE kwenye App yetu.

Pia utaweka kutazam habari na Matukio mbali mbali Mubashara masaa 24 kutoka Channel za TBC ONE, CHANNEL TEN, STAR TV, EATV, ABOOD TV na nyinginezo.

Wapenzi wa MUZIKI wataweza kutazama Mubashara nyimbo mpya na za zamani kwa masaa 24 kutoka Tanzania na nje ya Tanzania kupitia Channel za TBC TWO, SANYUKA TV, TV 47, AFRO BEAT na nyinginezo.

Aidha kwenye Category ya DINI utapata Kutazama Mubashara Kiganjani mwako Channel ya IBN, Channel ya Nabii Mwamposa (A RISE AND SHINE) pamoja na ABOOD TV.

Kwa Upande wa Kusikiliza Radio, tumekuwekea radio za CLOUDS FM, EA RADIO, UFM na BONGO FLEVA kwaajili nyimbo zote mpya na zamani.

Nijuze Habari bado tunaendela kuongeza Channel na habari kwenye App yetu ili kukupa kilicho bora zaidi, hivo endelea kuwa na App yetu update yoyote mpya.

Sambaza App yetu kwa ndugu jamaa na marafiki, waibie hii siri ili wasipitwe na burudani hizi moto moto.

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD BURE KUTAZAMA MUBASHARA TAARIFA ZOTE.

DOWNLOAD App Yetu Mpya Kutazama Mechi Mubashara, Magazeti ya Kila Siku asubuhi Pamoja Na Habari Nyingine Nyingi.

Download Bure App mpya ya Nijuze Habari kuweza kuangalia Mpira na utaweza kuona Matokeo na Ratiba ya ligi zote kubwa Duniani.

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch

Takwimu zinasema kwamba kubeti kwa simu ya mkononi ndio mtindo mkubwa leo kwa sababu uhusisha sehemu kubwa ya soko la kubeti kiujumla. Zaidi ya hilo, kunatarajiwa kukua katika miaka kumi ijayo.

Kama wewe ni mpya kwenye kubeti, ukijaribu kuweka mikeka ya kwanza au wewe ni mtaalamu mwenye uzoefu unayetafuta machaguo mazuri zaidi ya kubeti kwa simu ya mkononi, Parimatch ndio haswa kile unachokitafuta! Ni jukwaa la kubeti linaloaminika na lililothibitika kufanya kazi Tanzania ambalo hutoa huduma nzuri zaidi za sehemu ya kubetia.

Kubeti Michezo kwa Simu ya Mkononi ni Nini?

Kitu chenyewe ni kwamba umiliki wa simu janja unaongezeka kwa kasi ulimwenguni kote. Wamiliki wa tovuti za kubeti kwa simu za mkononi wanatambua mtindo huu na wanaitikia ipasavyo ili wasipoteze wateja wao.

Siku hizi, sehemu zote za kubetia zinazofahamika vizuri na zenye sifa nzuri — ikihusisha Parimatch — zina matoleo ya simu za mkononi. Baadhi ya majukwaa ya kubeti yamelenga kwenye kuunda app za kubeti mtandaoni kwa simu ya mkononi yakifukuzia lengo la kufanya kubeti kuwe rahisi zaidi.

Wengine wanaunda toleo la simu ya mkononi la tovuti yao na kulifanya kuwa bora kabisa. Parimatch hufanya kazi katika pande zote mbili.

Kutokana na uzoefu wetu, tunajua kwamba kubeti kwa simu ya mkononi ni suluhisho la haraka sana na rahisi sana kwa wale wanaopendelea kubeti muda wowote na mahali popote.

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

FAHAMU Jinsi ya Kubeti kwenye Simu na Parmatch | Kwanini Ubeti na Parmatch?

Kubeti kwa Simu ya Mkononi Kunatofautiana Vipi na Kubeti kwenye Kompyuta?

Kubeti kwa simu ya mkononi humaanisha kutumia simu yako janja kuweka mikeka. Kwa ujumla, hakuna tofauti kubwa kati ya kubeti kwa simu ya mkononi na kubeti kwa kompyuta.

Unatumia huduma za jukwaa hilo hilo lakini kutoka kwenye vifaa tofauti. Nafasi, marupurupu, na bonasi ni sawa kwa watumiaji wote. Unahitaji tu kupakua app ya simu ya mkononi kutoka App Store au Google Play Market. Hata hivyo, kunaweza kuwa na tofauti baadhi zinazohusiana na mchakato wa kubeti. Kiolesura cha mtumiaji pia ni tofauti.

Faida za Juu za Kubeti kwa Simu ya Mkononi

Asante kwa teknolojia inayoendelea kubadilika, unaweza kuweka mikeka yako muda wowote na mahali popote kabisa. Unahitaji tu kuwa na chombo cha mkononi chenye mwunganisho wa intaneti.

Acha tupitie faida kuu za kubeti kwa simu ya mkononi.

1.Huokoa muda wako

Sote tuna vyombo vya mikononi vilivyowashwa muda wote. Unaweza kupakua app na kuweka mikeka yako ukiwa mahali popote duniani. Hakuna uhitaji wa kusubiri mpaka uwe mbele ya kompyuta yako.

2.Una machaguo zaidi

App za simu za mkononi zinaweza kuwa na machaguo zaidi kwaajili ya watumiaji wake. Mameneja ubashiri wa simu za mkononi hujitahidi kuwapa watumiaji wao matukio mbalimbali ya kimichezo. Zaidi ya hayo, app za simu za mkononi kwa kawaida zina machaguo zaidi ya kuchagua.

3.Utahabarishwa kila wakati

App za simu za mkononi zinaweza kukuarifu kuhusu matangazo mazuri zaidi au matukio yanayokuja. Zaidi ya hilo, daima utahabarishwa kuhusu nini kinatokea katika dunia ya kubeti. Takwimu za muda huo huo zinapatikana 24/7. Zaidi ya hayo, ni rahisi zaidi kufuatilia hasara na faida zako.

4.Malipo ni rahisi

Hauhitaji kutumia kompyuta yako mpakato kutoa pesa. Ukiwa na app ya kubetia, kwa urahisi utatoa pesa wakati wowote; mibofyo michache tu inahitajika.

5.Unaweza kutumia app yako wakati wowote

Mchana au usiku, unaweza kuweka mikeka 24/7 kutoka kwenye app yako ya simu ya mkononi.

Mafadhaiko Makubwa Zaidi na Kubeti kwa Simu ya Mkononi

Haya hapa ni masuala machache ambayo yanaweza kukukatisha tamaa wakati unatumia app za kubeti kwa simu ya mkononi:

1.Unahitaji kubadili badili kati ya kurasa

Hata hivyo, mengi hutegemea kwenye app ya kubeti mtandaoni au aina ya mikeka ambayo unatumia. Wakati mwingine, unahitaji kuhama kati ya kurasa kwaajili ya kuangalia mikeka ya timu moja kushinda, utofauti, au jumla.

Ni dhahiri kwamba unataka kuwa na taarifa zote zipatikane kwenye skrini. Lakini kubeti kwa simu ya mkononi hakuwezi kukidhi hitaji hili; unahitaji kubadili badili kati ya kurasa kufuatilia mabadiliko.

Kwenye Parimatch, daima tunafanya kazi kuufanya uzoefu wako wa utumiaji kuwa mzuri zaidi. Hivyo tunajali kwamba daima uwe na taarifa unazohitaji.

2.Unaweza kukumbana na changamoto za kuingia

Unapoweka mikeka kwenye chombo chako cha mkononi, unaruhusiwa kuweka mikeka kwenye michezo ambayo inaendelea. Kwa hiyo, unataka kufuatilia matokeo na kufanya kila kitu kusasisha mchezo. Lakini wakati mwingine unaweza kutolewa nje kipindi ambacho hakikutarajiwa kabisa.

Wakati ni kitu ambacho hutokea kwenye app nyingi, kwenye Parimatch tunajitahidi kuhakikisha app yetu inafanya kazi vizuri muda wote.

Unaweka Vipi Mikeka na App ya Kubeti ya Parimatch

Kubeti kwenye Parimatch ni rahisi na wazi. Zaidi ya hilo, kuna sababu nyingi kwanini unahitaji kutumia jukwaa hili (hasa kama app kwa ajili ya kubetia mpira wa miguu): mkusanyiko mpana wa mechi za soka, kubeti mubashara, vipengele rahisi vya kuweka pesa kwa simu ya mkononi, na msaada kwa wateja rafiki.

Kama mwishowe unataka kujaribu mbinu yako ya kubeti na Parimatch, inakubidi upakue Parimatch APK mara moja! Utaratibu huu huchukua sekunde chache tu.

Huu hapa ni mwongozo wa kina juu ya jinsi ya kupakua app ya Parimatch na mwishowe kufurahia kubeti kwa simu ya mkononi:

 • Kwenye simu yako ya mkononi, nenda kwenye tovuti yetu parimatch.co.tz na bonyeza kitufe cha kati.

Parimatch menu button on mobile website

 • Menyu ya Parimatch itafunguka. Unahitaji kuchagua “Apps Android/iOS”.

Parimatch app in a menu 

 • App (Parimatch APK) itapakuliwa na kusanikishwa papo hapo.
 • Kama mchakato huu hauanzi, nenda kwenye mipangilio ya usalama kwenye simu yako na wezesha upakuaji app kutoka kwenye vyanzo visivyojulikana.
 • Tafuta app ya Parimatch ya Tanzania kwenye skrini ya simu yako na ibonyeze.
 • App itakuomba kupitia utaratibu rahisi wa usajili. Huwezi kuweka mikeka mpaka utie sahihi. Huchukua sekunde chache; unahitaji tu kuthibitisha namba yako ya simu (au barua pepe) na kuweka nenosiri.

Parimatch app login screen

 • Weka pesa kiasi kuanza kubeti
 • Nenda kwenye Michezo au Mubashara na pitia kuangalia michezo na mechi zinazopatikana.
 • Chagua mchezo na nini cha kubetia. Bofya kwenye mechi maalum kwaajili ya machaguo yote yanayopatikana.

Betting on football match with Parimatch app

 • Weka mikeka yako.
 • Ingiza dau lako na thibitisha mikeka yako!

Kama unataka kufuatilia mikeka yako inatakiwa uende kwenye sehemu ya “Mikeka Yangu”. Katika sehemu hii, unaweza pia kuchagua kubebenisha mikeka au mikeka ya mfumo.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *