Nijuze Habari

YANGA yatambulisha beki kutoka Dr Congo

Filed in Usajili by on 11/07/2022 0 Comments

Joyce Lomalisa Mutambala Yanga SCKLABU ya Yanga SC imetangaza kukamilisha Usajili wa beki wa kushoto, Joyce Lomalisa Mutambala raia wa DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Sagrada Esperanca ya Angola.

Nijuze Habari Application

YANGA yatambulisha beki kutoka Dr Congo

Joyce Lomalisa Mutambala Yanga SCKLABU ya Yanga SC imetangaza kukamilisha Usajili wa beki wa kushoto, Joyce Lomalisa Mutambala raia wa DR Congo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Sagrada Esperanca ya Angola.

CV ya Joyce Lomalisa Mutambala Mchezaji wa Yanga SC

Joyce Lomalisa Mutambala Yanga SCBeki mwenye umri wa miaka 29 anayekuja kuchukua nafasi ya David Bryson na Yassin Mustafa ambao watatolewa mkopo amewahi kucheza GD Interclube ya Angola pia, AS Vita Club ya kwao DR Congo na Mouscron ya Ubelgiji.

UNAWEZA PIA KUSOMA PIA👇

telegram Nijuze Habari
MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published.