LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

YANGA yatinga Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023

Filed in Michezo by on 30/04/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

YANGA yatinga Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023

YANGA yatinga Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023

YANGA yatinga Nusu Fainali CAF Confederation Cup 2022/2023

KLABU ya Young Africans imefanikiwa Kufuzu hatua ya Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF Confederation Cup 2022/2023), baada ya kuiondosha Rivers United ya Nigeria kwa jumla kwa mabao 2-0.

Hiyo ni baada ya mchezo sare ya bila kufungana na Rivers United katika mchezo wa marudiano wa Robo Fainali uliofanyika kwenye Uwanja wa Benjamín Mkapa Jijini Dar es Salaam leo.

Young Africans inafuzu hatua hiyo ya Nusu Fainali kwa faida ya mabao 2-0, iliyoyapata kwenye mchezo wa kwanza uliofanyika nchini Nigeria kwenye kwenye Uwanja wa Godswill Akpabio Mjini Uyo, mabao ya Fiston Mayele.

Yanga sasa itakutana na Marumo Gallants ya Afrika Kusini ambayo imefuzu hatua hiyo kwa kuiondosha Pyramids ya Misri kwa jumla ya mabao 2-1, ikitoa sare ya bao 1-1 Mjini Cairo kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kushinda bao 1-0 leo.

Yanga itaanzia nyumbani kwa kuikaribisha Marumo Gallants May 10 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es na mchezo wa marudiano utafnyika Afrika Kusini May 17, 2023.

Baada ya Yanga kufuzu hatua hiyo ya Nusu Fainali ya CAF Confederation Cup 2022/2023, Tanzania imeongeza pointi 5 na kufikisha pointi 51.5 ikibaki nafasi ya 7 kwenye Association Ranking 2023.

Yanga wao pia wameongeza pointi 5 na kufikisha jumla ya pointi 15 wakishika nafasi ya 22 kwenye Club Ranking Barani Afrika.

PIA UNAWEZA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags:

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *