telegram Nijuze Habari

YANGA yatupwa Shirikisho CAF

Filed in Michezo by on 16/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

YANGA yatupwa Shirikisho CAF

YANGA yatupwa Shirikisho CAF

YANGA yatupwa Shirikisho CAF

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara ( NBC Premier League), Klabu ya Yanga SC imeangukia kwenye Michuano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Al Hilal bao 1-0.

Yanga imepoteza mchezo huo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika na kuondolewa kwenye Michuano hiyo kwa jumla ya mabao 2-1.

Bao pekee la Al Hilal kwenye mchezo huo lilifungwa dakika ya 3 na Mohammed Abdulrahman Yousif akimalizia krosi iliyopigwa na Kiungo Yassir Muzamir.

Baada ya kutolewa Klabu Bingwa sasa Yanga inaangukia Kombe la Shirikisho kuwania kucheza hatua ya Makundi ya CAF Confederation Cup 2022/2023.

Taarifa zaidi ya mchezo huu bofya HAPA

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *