telegram Nijuze Habari

YANGA yawasili salama Sudan, ratiba yawekwa wazi.

Filed in Michezo by on 15/10/2022 0 Comments
Nijuze Habari Application

YANGA yawasili salama Sudan, ratiba yawekwa wazi.

Kikosi Cha Yanga kilichoenda Sudan, KIKOSI Cha Yanga kilichoifuata Al Hilal Omduraman CAF Champions League, Kikosi cha Yanga kinachosafiri kuifata AL Hilal, Travelling Squad, Yanga Line Up VS Al-Hilal,Yanga Vs Al-Hilal Leo 16 0ctober 2022 CAF Champions League Yanga Line Up VS Al-Hilal 16 0ctober 2022 CAF Champions League  Yanga Line Up VS Al-Hilal Kikosi Cha Yanga VsAl-Hilal, Kikosi cha Yanga Sc vs Al-Hilal  leo 16 October 2022 Young Africans Squad, Yanga vs Al-Hilal, Al-Hilal vs Young Africans Line Up, Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal Leo, Kikosi cha Yanga vs Al-Hilal leo, Line Up Yanga vs Al-Hilal October 16,2022

YANGA yawasili salama Sudan, ratiba yawekwa wazi.

YANGA yawasili salama Sudan, ratiba yawekwa wazi.

KIKOSI Cha Yanga SC kimewasili salama Khartoum, nchini Sudan tayari kwa maandalizi ya mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Afrika, kesho Jumapili dhidi ya Al Hilal Omduraman ya nchini humo.

Msafara huo wa wachezaji, benchi la ufundi, viongozi na mashabiki wa Yanga umewasili Sudan, majira ya saa 7:00 mchana kwa saa za hapa Tanzania, ukitokea Addis Ababa, Ethiopia.

Akizungumzia Safari hiyo, Ofisa Habari wa Yanga, Ally Kamwe amesema, “Tunamshukuru Mungu tumefika salama. Ni zaidi ya saa 8 tumekuwa safarini, tulitoka Dar Es Salaam saa 10:00 Alfajiri lakini ilitulazimu kusubiri ndege nyingine ya kuunganisha kwa takribani saa 3 baada ya kutua pale Addis Ababa.

YANGA yawasili salama Sudan, ratiba yawekwa wazi.

YANGA yawasili salama Sudan, ratiba yawekwa wazi.

“Tutakuwa na Mapumziko kidogo na baadae usiku tutakwenda kufanya mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mchezo siku ya kesho. Kwa sasa kila kitu kiko sawa na tunaamini tuna nafasi ya kushinda mchezo huu.”

Mchezo huo Kati ya Al Hilal Omduraman dhidi ya Yanga unatarajiwa kupigwa saa 3:00 Usiku kwa saa za hapa Tanzania, ambapo Yanga inatakiwa kushinda au kupata sare ya mabao 2-2 ili kusonga mbele kwenye Hatua ya Makundi.

MSIMAMO NBC PREMIER LEAGUE 2022/2023

Tags: , , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *