Nijuze Habari App

ZAWADI wanazopata Washindi Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)

Filed in Michezo by on 19/05/2023 0 Comments
Share This

JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP HAPA


JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM HAPA


 

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

ZAWADI wanazopata washindi Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)

ZAWADI wanazopata washindi Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League),Orodha ya mabingwa Club bingwa africa,Thamani ya kombe La Klabu Bingwa afrika 2023, Thamani ya kombe CAF Champions League,Kombe la washindi barani afrika,Msimamo Klabu Bingwa Afrika 2023,Thamani ya kombe Klabu Bingwa Barani afrika,Historia ya Klabu Bingwa afrika,Wafungaji Klabu Bingwa Afrika 2023,Pesa atakayopata Simba Klabu Bingwa Afrika 2023, Pesa atakayopata Simba CAF Champions League, Zawadi wakayoipata Simba SC CAF Champions League 2023, Pesa wakayoipata Simba Sports Club Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika 2023.

ZAWADI wanazopata washindi Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League)

ZAWADI ambazo Vilabu vilivyoshiriki Ligi ya Mabingwa Barani Afrika zinapata kuanzia hatua ya Makundi.

Shirikisho la Soka la Barani Afrika (CAF) limeongeza kiasi cha fedha kitakachopatikana kwa wale watakaofanya vizuri katika Mashindano ya Klabu Bingwa Barani Afrika.

Timu zote zinazoshiriki Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League) hupata zawadi ya Fedha kama ilivyoorodheshwa hapa chini.

Mchanganuo wa Pesa za zawadi kwa Washiriki wa Michuano Ligi ya Mabingwa Afrika kuanzia hatua ya Makundi.

ZAWADI YA FEDHA CAF

ZAWADI wanazopata washindi Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League),Orodha ya mabingwa Club bingwa africa,Thamani ya kombe La Klabu Bingwa afrika 2023, Thamani ya kombe CAF Champions League,Kombe la washindi barani afrika,Msimamo Klabu Bingwa Afrika 2023,Thamani ya kombe Klabu Bingwa Barani afrika,Historia ya Klabu Bingwa afrika,Wafungaji Klabu Bingwa Afrika 2023,Pesa atakayopata Simba Klabu Bingwa Afrika 2023, Pesa atakayopata Simba CAF Champions League, Zawadi wakayoipata Simba SC CAF Champions League 2023, Pesa wakayoipata Simba Sports Club Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika 2023.LIGI YA MABINGWA AFRIKA (CAF Champions League)

  • Mshindi wa Fainali: Tsh 9,432,000,000
  • Mshindi wa pili: Tsh 4,716,000,000
  • Zilizoishia Nusu Fainali (2) Tsh 2,829,600,000
  • Zilizoishia Robo Fainali (4): Tsh 2,122,200,000
  • Washindi wa tatu kwenye Makundi (4): Tsh 1,650,600,000
  • Washindi wa nne wa kwenda Makundi: (4): Tsh 1,650,600,000

Kwa mchanganuo huo klabu ya Simba iliyoishia hatua ya Robo Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika itapata Pesa kiasi cha Tsh 2,122,200,000 (Tsh Bilioni 2.12)

 

MKWANJA Mrefu Upo Premierbet Leo, kupata odds za Kibabe Tafadhali Bofya HAPA JISAJILI, BASHIRI Utusue.

 
 

Karibu Helabet Upige MKWANJA hadi 300,000, Kujiunga Bofya HAPA, Promo Code ya Bonasi Weka NIJUZE, JISAJILI, Deposit na Utusue.

 

Ligi ya Mabingwa Afrika Ligi ya Mabingwa ya CAF, ambayo zamani iliitwa Kombe la Klabu Bingwa Afrika na ambayo sasa inajulikana kwa sababu za udhamini kama Ligi ya Mabingwa ya CAF ya TotalEnergies.

Ni Shindano la kila mwaka la vilabu vya kandanda linaloandaliwa na Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) na kushindaniwa na vilabu vinavyomaliza nafasi za juu kwenye Ligi zao za ndani.

Washindi wa Shindano hilo huamuliwa kupitia hatua ya Makundi ambayo huamua kufuzu kwa hatua ya mtoano ya Robo Fainali, Nusu Fainali na hatimaye Fainali.

Ni Mashindano ya Vilabu yenye hadhi zaidi katika Soka la Afrika na mojawapo ya matukio ya soka ya kifahari zaidi Duniani kote.

Mshindi wa Shindano hilo anafuzu kushiriki Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA, ambalo huchezwa kati ya timu Bingwa kutoka kila Bara ambayo ni Mabara sita Washirika.

Pia Bingwa hucheza na Mshindi wa Kombe la Shirikisho la CAF katika Kombe la Super Cup la CAF kila mwaka unaofuata.

ZAWADI wanazopata washindi Klabu Bingwa Afrika (CAF Champions League),Orodha ya mabingwa Club bingwa africa,Thamani ya kombe La Klabu Bingwa afrika 2023, Thamani ya kombe CAF Champions League,Kombe la washindi barani afrika,Msimamo Klabu Bingwa Afrika 2023,Thamani ya kombe Klabu Bingwa Barani afrika,Historia ya Klabu Bingwa afrika,Wafungaji Klabu Bingwa Afrika 2023,Pesa atakayopata Simba Klabu Bingwa Afrika 2023, Pesa atakayopata Simba CAF Champions League, Zawadi wakayoipata Simba SC CAF Champions League 2023, Pesa wakayoipata Simba Sports Club Kombe la Klabu Bingwa Barani Afrika 2023.

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Share This

Tags: , , , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *