LIVE USM ALGER VS YANGA Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 4:00 Usiku.

LIVE MAN CITY VS MAN UNITED Download HAPA kutazama LIVE kwenye Simu Yako Kesho Saa 11:00 Jioni.

ZAWADI wanazopata Washindi Kombe la Shirikisho (CAF Confederations Cup)

Filed in Michezo by on 19/05/2023 0 Comments
Share This
NIJUZE HABARI WHATSAPP GROUP

AJIRA MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA


AUDIOS MPYA ZA WIKI BONYEZA HAPA


VIDEOS MPYA ZA WIKI HII BONYEZA HAPA

Nijuze TV App, Mpira Kiganjani Mwako

ZAWADI wanazopata washindi Kombe la Shirikisho (CAF Confederations Cup)

ZAWADI wanazopata washindi Kombe la Shirikisho (CAF Confederations Cup),Kombe la washindi barani afrika,Thamani Ya Kombe La Shirikisho Afrika 2023,Msimamo Kombe la Shirikisho 2023,Thamani ya kombe La shirikisho afrika,Historia ya kombe la shirikisho afrika,Wafungaji Kombe La Shirikisho 2023,Pesa atakayopata Yanga Kombe la Shirikisho Afrika 2023, Pesa atakayopata Yanga Kombe la Shirikisho Afrika, Zawadi wakayoipata Yanga CAF Confederation Cup 2023, Pesa wakayoipata Yanga Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2023.

ZAWADI wanazopata washindi Kombe la Shirikisho (CAF Confederations Cup)

ZAWADI ambazo Vilabu vilivyoshiriki Kombe la Shirikisho Barani Afrika zinapata kuanzia hatua ya Makundi.

Timu zote zinazoshiriki Kombe la Shirikisho la CAF (CAF Confederations Cup) hupata zawadi ya Fedha kama ilivyoorodheshwa hapa chini.

ZAWADI YA FEDHA CAF

Mchanganuo wa Pesa za zawadi kwa Washiriki wa Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kuanzia hatua ya Makundi.

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA (CAF Confederation Cup)

  • Mshindi wa Fainali: Tsh 4,716,000,000
  • Mshindi wa Pili: Tsh 2,358,000,000
  • Timu zilizoishia Nusu Fainali (2): Tsh 1,768,500,000
  • Timu Zilizoishia Robo Fainali (4): Tsh 1,296,900,000
  • Washindi wa tatu kwenye Makundi (4): Tsh 943,200,000
  • Washindi wa nne kwenye Makundi: (4): Tsh 943,200,000

Kwa Mchanganuo huo, Klabu ya Young Africans ambayo tayari imetinga hatua ya Fainali ina uhakika wa kupata Pesa Kiasi cha Tsh 2,358,000,000 (Bilioni 2.358) ikiwa itapoteza mchezo wa Fainali ambayo itachezwa May 28 na June 3 dhidi ya USM Alger.

Endapo Yanga SC itatwaa Ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika 2023 basi itapata Pesa kiasi cha Tsh 4,716,000,000 (Bilioni 4.7)

Aidha, kila klabu itatoa asilimia 5 ya fedha ilizopata kama zawadi kwa Chama cha Soka cha nchi husika.

Pamoja na Pesa za CAF, Yanga pia itavuna zaidi ya Bil 1.5 kutoka kwa Wadhamini wao kampuni ya Haier ambapo Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said alibainisha kuwa Pesa watakayolipwa na Haier zitaongezeka kwa kuzingatia hatua ambayo watafikia katika Michuano hiyo.ZAWADI wanazopata washindi Kombe la Shirikisho (CAF Confederations Cup)

Kombe la Shirikisho la CAF, linalojulikana kama Kombe la Shirikisho la CAF kwa ni mashindano ya kila mwaka ya vilabu vya soka yaliyoanzishwa mwaka 2004 kutokana na kuunganishwa kwa Kombe la CAF na Kombe la Washindi wa Kombe la Afrika na kuandaliwa na CAF.

Vilabu vinafuzu kwa shindano hilo kulingana na uchezaji wao katika Ligi zao za kitaifa na mashindano ya vikombe.

Ni Shindano la Pili kwa ukubwa ngazi ya  vilabu barani Afrika, likiwa chini ya Ligi ya Mabingwa ya CAF.

Mshindi wa michuano hiyo hukutana na Mshindi wa CAF Champions League katika msimu unaofuata wa CAF Super Cup.

Vilabu vya Morocco vina idadi kubwa ya ushindi (mataji 7), ikifuatiwa na Tunisia yenye mataji (5(,Morocco ina idadi kubwa ya timu zilizoshinda taji hilo.

Wafungaji Bora wa muda wote CAF Confederation Cup

Rank Nat Name Club Goals Apps
1 Egypt Ahmed Abdel-Ghani Haras El Hodoud SC 21 22
2 Algeria Abdelmalek Ziaya ES Sétif
USM Alger
17 12
Morocco Mouhcine Iajour RS Berkane
Raja CA
17 34
4 Egypt Ahmed Eid Abdel Malek Haras El Hodoud SC 16 30
5 Morocco Mahmoud Benhalib Raja CA 15 30
Egypt Ahmed Raouf ENPPI SC
Al Masry SC
Smouha SC
15 38
7 Democratic Republic of the Congo Trésor Mputu Mazembe 14 19
Morocco Mohamed Aziz RS Berkane 14 51
Egypt Abdallah El Said Al Ahly SC
Ismaily SC
Pyramids FC
14 71
10 Zambia Rainford Kalaba Mazembe 13 26
Nigeria Kelechi Osunwa Dolphin F.C. (Nigeria)
Al-Merrikh SC
Al-Ahly Shendi
13
Tunisia Firas Chaouat CS Sfaxien 13 39
Tunisia Hamza Younés CS Sfaxien 13
Democratic Republic of the Congo Jean-Marc Makusu Mundele AS Vita Club 13 21
15 Democratic Republic of the Congo Ben Malango Mazembe
Raja CA
12 25
Egypt Ahmed Hassan Mekky Haras El Hodoud SC
Smouha SC
Zamalek SC
12 47
Ghana Eric Bekoe Petrojet SC
Asante Kotoko S.C.
Heart of Lions F.C.
12
Togo Kodjo Fo-Doh Laba RS Berkane 12 28
Sudan Faisal Agab Al-Merrikh SC 12
Nigeria Endurance Idahor Dolphin F.C. (Nigeria)
Al-Merrikh SC
12
20 Nigeria Godwin Aguda Rangers International F.C.
Rivers United F.C.
11 18
Egypt Islam Issa Haras El Hodoud SC
Pyramids FC
11 50
Algeria Baghdad Bounedjah Étoile Sportive du Sahel 11 13
Nigeria Emeka Opara Étoile Sportive du Sahel 11
Ghana Eric Gawu King Faisal Babes F.C. 11
25 Niger Kamilou Daouda Coton Sport FC de Garoua
CS Sfaxien
Al-Ittihad Club (Tripoli)
10 24
Nigeria John Antwi Ismaily SC
Misr Lel Makkasa SC
Pyramids FC
Al Ahly SC
10 31
Morocco Abdessamad Rafik Wydad AC
Olympic Club de Safi
Ittihad Tanger
Difaâ Hassani El Jadidi
10
Tunisia Alaeddine Marzouki CS Sfaxien 10 25
New Zealand Jeremy Brockie SuperSport United F.C.
Mamelodi Sundowns F.C.
10 17

ZAWADI wanazopata washindi Kombe la Shirikisho (CAF Confederations Cup), Kombe la washindi barani afrika, Thamani Ya Kombe La Shirikisho Afrika 2023,Msimamo Kombe la Shirikisho 2023,Thamani ya kombe La shirikisho afrika,Historia ya kombe la shirikisho afrika,Wafungaji Kombe La Shirikisho 2023,Pesa atakayopata Yanga Kombe la Shirikisho Afrika 2023, Pesa atakayopata Yanga Kombe la Shirikisho Afrika, Zawadi wakayoipata Yanga CAF Confederation Cup 2023, Pesa wakayoipata Yanga Kombe la Shirikisho Barani Afrika 2023.

UNAWEZA PIA KUSOMA👇

Nijuze TV ni App ambayo ukiwa nayo utaweza kutazama mechi za Ligi Kuu Tz Bara (NBC PREMIER LEAGUE) EPL, WORLD CUP, EPL, LALIGA, SERIA, LIGUE 1, BUNDESLIGA na Ligi nyingine nyingi.

Download App ya Nijuze Habari Playstore tukutumie Habari zote kwenye Simu yako BILA MALIPO BOFYA HAPA.

Download App ya Nijuze TV Utazame mechi zote kwenye Simu yako BOFYA HAPA

Share This

Tags: , , , , , , , , , ,

About the Author ()

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *